Mgomo mkubwa wa walimu Tz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo mkubwa wa walimu Tz

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lyamungo, Feb 16, 2012.

 1. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kutokana na mazingira magumu ya kazi ya walimu, madai yasiyosikilizwa, walimu wameanza mgomo kimyakimya kwa kile kinachosemekana kuwa wanaogopa kupigwa virungu. Ukifuatilia utendaji kazi wao hauleti matumaini ( hawafanyi kazi kwa moyozaidi ya kuigiza) matokeo ya kidato cha nne ni ushahidi wa kwanza na maneno yao wenyewe ni ushahidi wa pili.
  Jamii na Serikali wanatakiwa kuwasikiliza na kuikwamua elimu
   
 2. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,606
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kuna shule wanafunzi wamefeli karibu wote! Lakini walimu ndio kwaaanza wanashangilia.
   
 3. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,307
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Is just the beggining.
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Walimu wanatuchanganya: migomo yao mbona huwa inaishia hewani?????, maneno mengi hakuna kinachoendelea.
   
 5. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,307
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Bado hujakiona kinachoendelea ndugu? Watoto wetu wanafail, walimu siku hzi wanajali miradi yao binafsi kuongeza kipato kuliko kufundisha. Ndo mana nikasema from what i can see, huu ni mwanzo wa kuzama kabisaa kwa elimu ya Tanzania.
   
 6. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,850
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ylivyotoka tu matokea, nikagundua mgomo tayari,
  Hii serikali isipowapa walimu kipaumbele kizazi kijacho ni khasara tupu, kwasababu ujinga utaingia nchi nzima so hii nchi itaachwa kwa kizazi cha wajinga so nadhani itakuwa hatari sana kwa vizazi vijavyo maana mpaka sasa hatujagundua kitu, hatuwezi kutengeneza japo wembe so tulipaswa kusisitiza elimu nasisi tuweze.....

  so sad.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Kama mgaya atashiriki basi hautakuepo!!
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,325
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mgomo wao noma,tunatengeneza generation full of failures.unafikiri serikali imeona hali hii?au hata kama wameona je watatake action???
   
 9. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,792
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Inderect strike!unakuwepo shule,mapindi hugusi!mwulizeni MWANAASHA J.K.
   
 10. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kama huezi soma angalia hata picha utaona. Tumechokaaaa!!!
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Siyo mwanzo washavuka nusu ktk kuzamisha jahazi la elimu
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Serikali inapokuwa legelege mambo kama haya haiwezi kuyaona bali inamshukuru Mungu mgomo wenyewe hauna direct impact kama ule wa madaktari
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kha kha kha hata mwanaasha nae atadai amefeli kutokana na mgomo baridi wa walimu?
   
 14. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,043
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  wao wanapiga kiimya kimya angalia matokeo ya mwaka huu
   
 15. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Wanauza visheti mashuleni badala ya kufundisha madarasani
   
 16. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  TRA nao wako kwenye mgomo baridi!
   
 17. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Lakini wa FEZA Girls wenyewe hawajagoma!
   
 18. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Walimu kuboreshewa maslahi yao,labda wasubiri serikali zijazo...

  Ila,mi napenda kuuliza,hivi walimu na shida zao ni nchi hii tuu,au hata na nchi nyingine fani hii ni ya kipato kidogo?
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Mgomo wao utakuwa na impact kubwa ambayo itadumu muda mrefu kuliko hata ule wa madaktari. Hapa inabidi serikali isidharau hii kitu!
   
 20. Lyamungo

  Lyamungo Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Feza ni watu binafsi wanamiliki zilie shule, mgomo ni walim wa serikalini, serikalini ndo walimu wanawalisha watoto matango pori, private huwezi maana umekubaliana nao
   
Loading...