Habari kutoka kwa Dr. Kairuki hospital

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Wanandugu majuzi nimempeleka ndugu yangu kwenye hii hospital ya dk kairuki,..wengi walinishauri hosp ya karibu tukaamua kumpeleka hapo
tulipofika binti alikuwa na mimba ya miezi 7 akaongea na dk jinzi ya kuendelea
na clinic na jinsi gani ya kujifungia hakika dk alitukatisha tamaa sijui alikuwa na stress na mkewe ama lah,..alipotujibu mimba ya ngapi akamabiwa ya kwanza ...aisee yaani ukija hii lazima tuitie kisu mimba ya kwanza nyingi ni kisu siku hizi tukamwacha akama dk 5 tukihisi anatania ..akasema else utapata shida kwenye kujifungua m sikudanganyi...

mmmmh nkasema kama ndio hivi ma ndugu tusonge mbele akaenda aghakhan hospit ndipo alipo mpaka sasa....
Imenishtua kidogo,..madk hata kama mnania operation msiwambie hivi wagonjwa mtawakimbiza jamani
 
MADAKTARI NJAA!

Sijui kuna bodi yoyote ambayo inashughulika na kupata habari za kiintelijensia za mahospitali yetu haya...!, maana kuna vituko vya ajabu.

How come unamwambia mgonjwa kwamba ...wewe ni wa kisu tu..??..ndo maadili ya uganga hayo?...Ama kweli hakuna taaluma siku hizi...inayopendwa ni ajira tu not anything else!
 
lol, poleni sana! hap jamaa wa dk kairuki wanapenda hela! hakuna kingine!
 
Kazi kwer kwer!!!
Sijui wanasahau kiapo chao!!!!!:confused:
 
wajawepesi kuweni makini na hii hospital
msishangae wake zenu wanalambwa visu visivyotarajiwa
kweli operation ipo lakini kuna m dk jamani mpaka akupge operation
kweli kaona ngoma nzito...shaffi -dk Mungu akuwezeshe baba na moyo ulionao
hawa ma dk wanaotishia wagonjwa sidhan kama wanastahili kuwa ma dk.....
 
tena mwishoni anakwambia karibu tena...
loh dk weye !!!tuje tena kwa shida gani jamani??
 
Siku zote amua mambo yako jinsi wewe mwenyewe unavyoona inafaa, sio watu wengi wanavyosema, je Wengi wakisema bangi ni nzuri sana utavuta?
 
Kaka ungeenda MNH kama unahizo pesa za kumpeleka Agakhan MNH ungemuingiza first track, naona wao wanaimprovement kubwa, pole sana
 
Hao madaktari product za IMTU, HKMU; unategemea nini??????tulikotoka tulikuwa na ma dr wachache lakini walikuwa wanatenda kazi kwa mujibu wa viapo vyao, tulipo hii ni biashara kama biashara nyingine,Pole Ndugu
 
lol, poleni sana! hap jamaa wa dk kairuki wanapenda hela! hakuna kingine!
siyo kairuki tu ni zote ni bora kairuki nenda TMJ hata maiti inatozwa nauli kuiayamisha,Tatizo hatuna madactari{DR} serikali imeshindwa kuwalipa wote wamekimbilia nje,waliopo ni wababaishaji tu
 
Kaka ungeenda MNH kama unahizo pesa za kumpeleka Agakhan MNH ungemuingiza first track, naona wao wanaimprovement kubwa, pole sana
Kweli mi mke wangu ndipo alipo jifungulia salama salimini,wale wanambembeleza mgonjwa kama mtoto,Agakhan si lolote si chochote juzi juzi kuna jamaa mmoja walimchelewesha mke wake mtoto akafia tumboni!we acha hii ni balaa
 
kujifungua mtoto wa kwanza Muhimbili ni better choice, tafuta hela ya kwenda fast track.
hata mie kuna daktali aliniambia niende Mikocheni kwa Kairuki na tukaambiwa tujiandae kwa kisu, sisi hatukuwa tayari kwa majibu hayo tukaenda fast track ya Muhimbili wakafanya vipimo wakatuambia tarehe na my wife wangu alijifungua salama kabisa bila kisu.
Ndiyo hivyo kule Mikocheni ukitumia kisu kumzalisha mtu unalipwa zaidi!!!!
 
Wanandugu majuzi nimempeleka ndugu yangu kwenye hii hospital ya dk kairuki,..wengi walinishauri hosp ya karibu tukaamua kumpeleka hapo
tulipofika binti alikuwa na mimba ya miezi 7 akaongea na dk jinzi ya kuendelea
na clinic na jinsi gani ya kujifungia hakika dk alitukatisha tamaa sijui alikuwa na stress na mkewe ama lah,..alipotujibu mimba ya ngapi akamabiwa ya kwanza ...aisee yaani ukija hii lazima tuitie kisu mimba ya kwanza nyingi ni kisu siku hizi tukamwacha akama dk 5 tukihisi anatania ..akasema else utapata shida kwenye kujifungua m sikudanganyi...

mmmmh nkasema kama ndio hivi ma ndugu tusonge mbele akaenda aghakhan hospit ndipo alipo mpaka sasa....
Imenishtua kidogo,..madk hata kama mnania operation msiwambie hivi wagonjwa mtawakimbiza jamani

Pole sana ndugu yetu, wapo KIMASLAHI ZAIDI hivyo wameangalia wapi watapata ulaji. njia ya kawaida haiwalipi sana kama KISU

Linc
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom