KODI za Serikali ya Kikwete zitatuua jamani!!

JayK

Member
Feb 3, 2012
34
33
Jamani tanzania Kodi zetu zimekuwa nyingi mno na matumizi yake hayaonekani
PAYE -30%
VAT 18%

Ewura 1%
stampduty--
Fuel levy-
Road toll Levy -

so in total we are paying 70% of our salaries to this stupid government of Chama Cha Magamba..
This is absolutely unaccepatable given the poor social services.... poor hospitals, roads ndo usiseme...
 
uliza sasa uchaguzi wa Uzini walipata % ngapi. unaweza kufikiri kuwa hawa wananchi hawana ubongo
 
Jamani tanzania Kodi zetu zimekuwa nyingi mno na matumizi yake hayaonekani
PAYE -30%
VAT 18%

Ewura 1%
stampduty--
Fuel levy-
Road toll Levy -

so in total we are paying 70% of our salaries to this stupid government of Chama Cha Magamba..
This is absolutely unaccepatable given the poor social services.... poor hospitals, roads ndo usiseme...

You frustrated or something?
 
Za kuendea safari na kujilipa allowance.
 
Property Tax
City Levy
Load License
Land Tax
Airport Tax
packing Fee
Bus Stand Fee
Export License
 
Kufa hatufi lakini cha moto tunakiona
Hujajiuliza ni kwanini tunakamuliwa hivi na bado hazitoshi?
JK anakuambia serikali imechacha
 
Hizi kodi wanazotukamua hiv zinaenda wapi jamani,ufafanuzi plz??

Kwenda kuomba huko ughaibuni, kulipana posho Bungeni, kusheherekea miaka 35 ya chama cha kipumbavu, kulipana kwenye vikao vya kipumbavu vya mawaziri, kutumika kwenye projects hewa na shughuli nyingine za kipumbavu
 
Unakutat mfanyakazi wa kawaida analipa kodi kubwa kwa mwaka kuliko mfanyabiashara
 
Kwenda kuomba huko ughaibuni, kulipana posho Bungeni, kusheherekea miaka 35 ya chama cha kipumbavu, kulipana kwenye vikao vya kipumbavu vya mawaziri, kutumika kwenye projects hewa na shughuli nyingine za kipumbavu

Aiseee kwa mwendo huo lazima hazina wakaukiwe!
 
Serikali imerudisha malipo ya leseni ya wafanyabiashara ndogondogo, hivyo kila manispaa inatengeneza utaratibu wa kukusanya kodi. Ni utaratibu ambao kipindi cha B. Mkapa alizifuta. Sasa ajabu unakuta hata mama anayeuza Vitumbua anatakiwa kuwa na leseni ya biashara, na ada yake kwa mwaka ni 80,000/=

Haya ndio maisha Bora kwa Kila Mdanganyika.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
You frustrated or something?

Watu kama wewe hawakosekani kwenye jamii..
sitashangaa kama babako ama mamako ni MAGAMBA...
Your days are numbered!!!!
For your information I am not frustrated but critically thinking!!
 
Back
Top Bottom