Wawekezaji na ardhi: Tanzania inaelekeza ilikotoka Zimbabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji na ardhi: Tanzania inaelekeza ilikotoka Zimbabwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magobe T, Feb 16, 2012.

 1. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaJF, nionavyo mimi jinsi ardhi inavyochukuliwa kwa kisingizio "hatuwezi kuendelea bila wawekezaji" tunaelekea kule ambako Zimbabwe ilikuwa kabla ya kutaifisha mashamba ya wazungu. Sisi wote na hasa viongozi wetu wanaosafiri nchi mbalimbali na kujionea madhara ya utwaaji ardhi kutoka mikononi mwa wananchi kwenda kwa wawekezaji au watu wenye kipato ni mashahidi wa mambo haya. Kwa nini viongozi wetu hawajifunzi - ina maana rushwa imewafanya wasione kabisa matabaka ya watu yanayotengenezwa hapa Tanzania?
   
 2. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Valid observation, but too late.
   
Loading...