Vijihuduma vya vodacom

Tewe

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
1,101
813
Wandugu naona msaada wa namna ya kujitoa kwenye vijihuduma vya kifisadi vya vodacom maana kila kukicha naletewa bili zisizo na maana, mara redio ya swaga , mara nyimbo. Sioni umuhimu zaidi ya kuliwa pesa tafadhali anayefahamu namna ya kujitooa maana no.100 hawatoi ushilikiano kabisa
 
Back
Top Bottom