Wakazi kuvamia leo yard ya Mwamkinga baada ya kuchoshwa na unyanyasaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakazi kuvamia leo yard ya Mwamkinga baada ya kuchoshwa na unyanyasaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga 25, Feb 16, 2012.

 1. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya adha na bugudhi za muda jioni ya leo kutafanyika uvamizi kwenye hiyo yard kuwatia nidhamu wahusika, kama una gari lako mule kachukue mapema.........
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,276
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  wewe jamaa hujatulia
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nchi hii kweli haina mwenyewe.
  Wale wahuni wamepewa tender na serikali hii, wanaibia watu fedha kwa kisingizio cha parking.
  Serikali ingeandaa parking kwanza kabla ya kuanza kusumbua watu.
   
 4. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Ukweli ana kiburi sana jamaa yule na anafaaa kabisa apatiwe "Mob justice" kabisa ni halali yake kwani serikali yenu ya CCM haijali wala kusikia vilio vya watu wake.....endeleeni na mpango wenu
  ,
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Cha ajabu hata vibao vya no parking havipo, huku ni kuwatega raia polite wa TZ
   
 6. t

  tumpale JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 201
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naunga mkono, imefika mahali nchi inaonekana haina mwenyewe, watanzania tuamke huu unyanyasaji umevuka kipimo, hakuna alama ya no parking lakini ukipaki tu wanakuja kufunga gari yako, jamani tuamke wakati ni huu.
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Kuna majitu yanasababisha raia waamua kuchukua sheria mkononi kilazima
   
 8. S

  Selungo JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaa! Mbavu zangu eeee! Jamani kuamka sio watu wa Dar Es Salaam. Hakuna mijitu hovyo na mioga kama mijitu ya Dar Es Salaam. Yaani heri uhamasishaji huo ungefanyika huku vijijini tuliko sisi ungelipa lakini sio Dar, jiji la watu wa hovyo kabisa. Hebu angalieni miji mikuu mingine duniani! Ndipo mabadilko ya kutetea maslahi ya nchi yanapo anzia.

  Mijitu imeshindwa kuwaunga mkono hata Madaktari walio kuwa wanajenga hoja za kuwatetea waTanzania kuhusu tiba zao! Kilicho wajaa akilini mwao ni ubinafsi na akisha pata pesa kidogo ya TUSKER/SERENGETI wanaona dunia ndiyo hii.

  CCM FANYA UTAKAVYO HAPO DAR ES SALAAM HAKUNA WA KUKUTISHA BANA. IKIBIDI ANZISHA HATA USHURU WA WATEMBEA KWA MIGUU ILI WAIPATE.
   
Loading...