Mgao wa umeme waongezeka baada ya bajeti ya nishati kupitishwa

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Wakuu nimechunguza siku moja baada ya bunge kupitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini mgao wa umeme umerejea katika makali yake.kwa wale walioko arusha mnaweza kuelezea jinsi mgao wa umeme ulivyokuwa kuanzia jana (jumapili)

Morogoro leo kumekuwa na Mgao kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa mbili na nusu usiku. Nakubaliana kuwa mgao umeongezeka baada hiyo bajeti.

Jana umeme ulirudi saa mbili na nusu usiku na kukatika saa tano kamili.kwa ufupi umeme ulipatikana kwa masaa mawili na nusu in 24 horas.nimeanza kuhesabu masaa ambayo umeme hautakuwepo kwa leo(kuanzia saa 6 usiku)
kweli ngeleja mtoto wa mjini!

Heri yenu waunaukata kwa ratiba inayojulilama huku kwetu ROMBO unakatwa na kurudishwa bila mpangilio kana kwamba unatusababishia hasara kubwa ya kuunguliwa na vitu je nikwamba wanakomoa majimbo yanayongozwa na CHADEMA?

ratiba ilikuwepo lakini imevurugwa baada ya bajeti kupita.

Pole sana Jackbauer,
Jifunze kutumia ubongo wako vizuri kutafuta njia mbadala za kupata umeme badala ya kutegemea umeme wa Tanesco!

Sisi wa line ya magogoni ndogo hatuelewi mgao ni kitu gani.

Kijitonyama umekatika saa 8 za usiku mpaka muda huu haujarudi bado

Pole sana Jackbauer,

Jifunze kutumia ubongo wako vizuri kutafuta njia mbadala za kupata umeme badala ya kutegemea umeme wa Tanesco!

mkuu natumia ubongo wangu sana kwenye sekta nyingine nikiamini walioko kwenye sekta ya maamuzi au tuseme sekta ya umeme wanafanya hivyo hivyo,au unataka kuniambia specialization hakuna tena?kama ni hivyo muache kunikata kodi ili nijitafutie umeme mbadala.

Sikuambii ukawe fundi umeme jack,
As long as umeshajua umeme Tanzania ni kero.. you have to act act intelligently!

grrrrrr! aaaaaaghhh! sijui nitukane tusi gani ambalo halina ban!!!!huku kwetu umeme ulikatika juzi jumapili saa kumi na moja asubuhi umerudishwa usiku wa leo nadhani saa saba au nane kwani nilikuwa macho hadi saa sita, nimeamka nakuta kuna umeme ile nachomeka tu kalaptop kangu kwenye charger wamechukua megawati zao!amaaa kweli tanzania bila umeme inawezekana, big up ngeleja

Pole sana Jackbauer,
Jifunze kutumia ubongo wako vizuri kutafuta njia mbadala za kupata umeme badala ya kutegemea umeme wa Tanesco!

Na uiambie serikali yako ya magamba itafute njia mbadala za mapato badala ya kuchukua PAYE toka kwangu

Pole sana Jackbauer,

Jifunze kutumia ubongo wako vizuri kutafuta njia mbadala za kupata umeme badala ya kutegemea umeme wa Tanesco!

hv huwa una akili timamu mkuu? maana comments zako huwa za ajabu ajabu tu km avatar yako,mtu mwenye pua ya bata....

Heri yenu waunaukata kwa ratiba inayojulilama huku kwetu ROMBO unakatwa na kurudishwa bila mpangilio kana kwamba unatusababishia hasara kubwa ya kuunguliwa na vitu je nikwamba wanakomoa majimbo yanayongozwa na CHADEMA?

pole sana itabidi uhamie maeneo ya hospital ndo hakuna mgao..

Pole sana Jackbauer,

Jifunze kutumia ubongo wako vizuri kutafuta njia mbadala za kupata umeme badala ya kutegemea umeme wa Tanesco!

njia mbadala ni jenereta halafu mafuta yako juu kuliko umeme kwani wewe unatumia nini umeme ukikatwa..

Back
Top Bottom