Kwanini iko hivi..........?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
inakuwaje baadhi ya wanawake hawapendi kutaja umri wao( kwa wanaowahitaji kuwa karibu nao). kadhalika na wanaume hawapendi kuulizwa kipato chao(hasa kwa wandani wao)
 
inakuwaje baadhi ya wanawake hawapendi kutaja umri wao( kwa wanaowahitaji kuwa karibu nao). kadhalika na wanaume hawapendi kuulizwa kipato chao(hasa kwa wandani wao)

hata usipotaja umri, sura yako itakusuta tu kuwa ni mzee. Weka wazi unaogopa nini????

Ukificha kipato ujue ana nyumba ndogo huyo sasa hataki mwenza ajue anapokea mapesa mangapi

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Umri mkubwa kwa mabinti ni kigezo kimojawapo cha kumdisqualify mwanamke kwenye mahusiano... Kingine ni kama ameshazaa...na dini pia..

Hilo la pili,sijui,na sidhani kama kina ukweli...
 
Kuna usemi usemao ''If you are a gentlemen, don't ask a woman her age or her weight'' Utaharibu atmosphere. IACHE HIVYO HIVYO...Labda ladies watueleze.:lol:
 
hata usipotaja umri, sura yako itakusuta tu kuwa ni mzee. Weka wazi unaogopa nini????

Ukificha kipato ujue ana nyumba ndogo huyo sasa hataki mwenza ajue anapokea mapesa mangapi

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Kwani hili jambo linatokea wakiwa kwenye ndoa au wakati wa kuchumbiana?
 
Ni jambo ambalo jamii yetu imejiwekea ndo maana ikawa hivyo so yafaa tubadilike kwani kama Mungu kakupangia ni wako haitaaribu jambo
 
Back
Top Bottom