forum ya Dr Slaa mikononi mwa hackers!!!!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
baada ya kuanzishwa tu kuna wahuni wamehack forum ya dr slaa.nina wasiwasi na malaria sugu!

https://www.jamiiforums.com/#

info@dwpslaa.com


[h=2]Tunasikitika kwamba kuna watu wame hack forum hii usiku wa leo baada ya jana tu kuwekwa hewani. Tunajitahidi kuirejesha hewani haraka iwezekanavyo. Unaweza kusoma ila hutaweza kujisajili wala kuingia kupitia HAPA [/h]
[h=3]Makadirio ya muda uliobaki kwa matengenezo kabla ya kurudi tena:[/h]0 Days, 6 Hours, 28 Minutes, and 14 Seconds
 
Back
Top Bottom