Utaratibu Wa Kuchangia fedha JF ni Upi?

Osaka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
1,762
551
Salaam wana Jamvi!


Mimi nikiwa mkereketwa mmoja wapo wa Jamii Forums, nauliza utaratibu wa kuchangia fedha ktk kikundi hiki ili kizidi kuimarika zaidi.
Mwenye kufahamu utaratibu anijuze.
 
Back
Top Bottom