Kubadilisha engine Mitsubishi RVR

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Naomba msaada wa mawazo Wakuu. Nina Mitsubishi RVR (1996) ambayo gear box na engine yake imekuwa ikiniletea matatizo ya mara kwa mara. Kuna mtu aliniambia kuwa inawezekana kubadilisha hivyo vyote na kuweka engine/gearbox ya Rav 4. Je kuna yeyote humu jamvini ambaye ameshafanya hivyo, au mwenye habari zaidi kuhusu jambo hilo?
 
Back
Top Bottom