Nimjuavyo olesendeka mbunge wa simanjiro!!!

Nali

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
1,155
812
Wana JF,

Nimjuavyo Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Olonyokie Olesendeka:

1. Ni mtoto wa kifugaji (mmaasai) wa kijiji cha Lendanai
2. Alisoma Moringe secondari- Monduli
3. Alipata division 0 (zero) form six
4. Alishakua katibu tarafa na diwani wa Kata ya Naberera Simanjiro
5. Mwenyekiti wa CCm wilaya yake ya Simanjiro
6. Ana wake watano, mmoja amemkimbia
7. Haja jenga nyumba kwao, anaishi nyumba ya kinyesi cha ng'ombe
8. Anamiliki ng'ombe zaidi ya elfu 4
9. Ndg zake wanaishi maisha ya dhiki na umaskini mkubwa
10. Jimbo lake la Simanjiro liko nyuma kimaendeleo na hakuna mradi wowote alioibua toka awe Mbunge wa jimbo hilo!
11. Wananchi wake ni maskini, hawana maendeleo na wasomi ni wachache. Jimbo lake halina mfuko wa maendeleo ya elimu.
12. Wakati wabunge wenzake wanasomesha watoto ktk majimbo yao, yeye hana hata mmoja anaemsomesha!
13. Ni Mbabe, mkorofi, Bondia na hasiti kuporomosha matusi hadharani bila kujali hadhi aliyonayo kama Mbunge
14. Mwaribifu wa ndoa za watu, na hupenza mabinti wadogo wadogo hasa vitoto vya shule!!!

Nawasilisha!!
 
Aisee!
Huenda mengi ikawa kweli lakini No7 nina mashaka nayo! itawezekanaje?
 
Kakutenda nini!

Mkuu, sina tatizo na Mbunge, wala hatufahamiani isipokua nimeeleza ninayoyajua kuhusu yeye, na mambo yote hayo ni ukweli mtupu!! Kama unahisi nachonga juu yake, tembelea jimboni kwake au crosschek na wananchi wake!!
 
Aisee!
Huenda mengi ikawa kweli lakini No7 nina mashaka nayo! itawezekanaje?

Inawezekana maana, atamjengea nani amwache nani na hao wanawake wote hawajaenda shule, ni wafugaji pure (Wamama wa kimaasai wenye kaniki) Yeye Mbunge anaishi maisha ya wamasai wa kawaida! Tumwonavyo sivyo alivyo!!!
 
Mke wake mmoja kanipora mimi..

Pole kaka, wewe waweza kuwa shuhuda wa haya niloeleza hapo juu!!

Huyu Olesendeka: Mungu kamjalia sana mdomo/kuongea sana na anautumia huo mdomo wake vibaya kwa kuwahadaa watz kwamba yeye ni mpambanaji nk nk lakini mapambano ya dhati ya kizalendo na kimaendeleo sharti yaanzie nyumbani, jimboni na taifani!! Sio blaa blaa yasiyo na mashiko!!!
 
Ni kweli nimesoma nae anapenda sana ubabe na huwa anapandisha mori wa kimasai. Ila kupigana alikuwa ni lazima ashike fimbo, ngumi haziwezi. Sikuhizi baada ya Wabunge kupewa umilliki wa bastola ni hatari sana kwa mtu kama Ole Sendeka. Alikuwa na kesi Arusha ya kutishia kuuwa sijui imeishaje. Kitu kingine kibaya ninachokijua ni uropokaji, ubishi na kujifanya kuwa na misimamo hata kama ni ya kitu kisichofaa au kuwa na tija.
 
Mkuu Nali, hayo uliyoyasema yanaweza kuwa kweli, ila mengine comon sense knowledge haikubali, haiwezekani mtu mwenye ng'ombe 4,000 na wake 5 akawa hana nyumba ya kisasa!.

Kwa upande wangu namfahamu kwa upayukaji ili kichwani hamna kitu kabisa ni empty!.

Ukifuatilia kauli zake kwenye mjadala wa richmond, utakubaliana na mimi jamaa ni sifuri kabisa kichwani!. Mwanzo alikuwa mkali sana, akajitanabaisha yeye ni miongoni mwa wabunge wapambanaji. Ile siku Spika Sitta anameza matapishi yake pale bungeni alipofunika kombe mwanaharamu apite, ni Mhe. Ole Sendeka huyu huyu ndie mbunge pekee aliyesimama kuchangia na kuunga mkono hoja!.
 
Mkuu Nali, hayo uliyoyasema yanaweza kuwa kweli, ila mengine comon sense knowledge haikubali, haiwezekani mtu mwenye ng'ombe 4,000 na wake 5 akawa hana nyumba ya kisasa!.

Kwa upande wangu namfahamu kwa upayukaji ili kichwani hamna kitu kabisa ni empty!.

Ukifuatilia kauli zake kwenye mjadala wa richmond, utakubaliana na mimi jamaa ni sifuri kabisa kichwani!. Mwanzo alikuwa mkali sana, akajitanabaisha yeye ni miongoni mwa wabunge wapambanaji. Ile siku Spika Sitta anameza matapishi yake pale bungeni alipofunika kombe mwanaharamu apite, ni Mhe. Ole Sendeka huyu huyu ndie mbunge pekee aliyesimama kuchangia na kuunga mkono hoja!.

Pasko, Huyu bwana ni mtu wa ajabu sana.....niamini maana huyu Mbunge nishafika kwake na kuzunguka jimbo la Simanjiro wakati tunafanya utafiti flani. Hana nyumba ni juzi juzi t ndio amenunua kiwanja maeneo ya sakina Ars. vinginevyo maisha yake hayana tofauti na mfugaji mwingine yeyote wa asili unaemjua TZ.

Kuhusu uropokaji, upayukaji na kukosa staha; hapo ndio pahala pake. Ni ngwiji wa matusi na mropokaji sana!! Anyway, inatosha tu kusema hayo. Ila pia hana msimamo na usije hata siku moja kumwamini maana mda wowote anaweza kukusaliti ili tu kulinda maslahi yake!!
 
Yaelekea

Wamasiai wa Simanjiro wanampaga kura mtu anayeishi kama wao,

Nawaonea huruma saana wapiga kura wake, wangekuwa na elimu tu mtu kama huyu sijui kama angekuwa hata mwenyekiti wa serekali ya mtaa
 
wana jf,

nimjuavyo mbunge wa simanjiro mh. Christopher olonyokie olesendeka:


3. Alipata division 0 (zero) form six
...........endelea ikawaje akarudi kusaga ng`ombe na mbuzi au akalobby kuingia chuo kikuu!!
tuwekee cv yake.................

6. Ana wake watano, mmoja amemkimbia
,,,,,,,,,,,,,ina maana walikuwa sita baada ya kundoka mmoja ndo wakabaki 5!
;;;;;;;;;;;au walikuwa watano sasa wamebaki 4??
----------ana watoto wangapi??????
Ugomvi wake na ole milya una uhusiano wowote na wanawake??


14. Mwaribifu wa ndoa za watu, na hupenza mabinti wadogo wadogo hasa vitoto vya shule!!!

<<<<<<<<<hatari :nerd:>>>>>>>>>>>>...

tupe majibu walau tujiridhishe
 
tupe majibu walau tujiridhishe

1. Olesendeka hakupata kuwa graduate - Hajasoma chuo chochote kikuu hata college! (cv yake utaipata kwenye politics tu)
2. Wake zake walikua watano (5) mmoja amemkimbia wamebaki wanne (4)
3. Ana watoto 21
4. Uhusiano wake na Ole Millya hauna mahusiano wowote na "wanawake" isipokua wanatofautiana kisiasa tu!
5. Ni kweli ni "HATARI" sana kuwa na mahusiano na watoto wa shule au uhusiano wowote nje ya ndoa. Tulitarajia Olesendeka angetulia kwa heshma ya nafasi aliyonayo na kwa kuzingatia pia kuwa ana wake wanne (4), Hawamridhishi? SIJUI labda ana PEPO la NGONO!!!
 
Back
Top Bottom