Mmeamini kwamba Agustine matefu si mpemba?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,509
Yule kijana aliyechafua hali ya hewa mwaka jana katika mchakato wa katiba mpya na akaropoka kwa lafudhi ya kipemba "yakhe nyie wabara hatuwapendi" lakini kwa mara ya tano namsikia akiongea lafudhi nzuri tu ya kibara kupitia ITV malumbano ya hoja!

Nawasilisha.
 
Hata hilo jina la matefu nadhani ni la bara kitu kama nyanda za juu kusini magharibi harafu yule jama nahisi kama ni tapeli fulani aliniambia ni Mwinjilisti wa kanisa la EAGT Sinza mara nikasikia tena akijiita mpemba tena mwanasheria lakini hakuna cha mwanasheria wala nini matapeli wa aina yake ni wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom