Huku kukiwa na taarifa ya kukopa misharaha ktk mabenki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku kukiwa na taarifa ya kukopa misharaha ktk mabenki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Feb 15, 2012.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  [h=3]Serikali yatoa kali ya mwaka[/h]

  • Haifahamu mapatoATCL,TRL yanakoenda
  • Yakaa kimya, yazidi kumwagia ruzuku
  • yaendelea kulalamika
   
 2. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280
  Kuna mkono wa mtu mkubwa pale. Kwani hata mimi niliposikia hii taarifa nilishituka, Eti Waziri anakili kuwa hawajui pesa zilizotolewa zimeenda wapi, lakini Serikali inatoa tena Ruzuku. Viogozi wa Wizara husika wanajua pesa inapokwenda na ndio maana kutufunga macho wanatoa kauli kama aliyotoa Waziri husika. Hivyo wametoa tena ruzuku ili wakamalizie kujenga majumba yao Mbezi Beach.

  Hivi ZITO KABWE na ile kamati yake wapo wapi???

  Au hawahusiki na kuifuatilia ATCL na Reli??

  yaani hapa sipati :photo::photo::photo: kabisa

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Na waziri analalamika kama mwananchi wa kawaida
  naye hajui hela inaenda wapi
  na serikali inazidi kumwaga ruzuku
  Bado hawajamaliza majumba yao waliyojenga nje na hapa
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  kwa jibu hilo waziti husika anastahili kuwajibika...hivi ndo ile Nundu?
   
 5. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  natamani mimi ndio ningekuwa baba mwana naniii, sasa hivi yule waziri angekuwa anachezea bakora za kutosha
   
Loading...