Mama Lwakatare acha ulaghai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mama Lwakatare acha ulaghai

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by faloyce2001, Feb 16, 2012.

 1. f

  faloyce2001 Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.

  Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka pale kwa muda wa miaka miwili kisha akawarudisha makwao. Kwa sasa anataka kufanya lile eneo kuwa chuo kikuu cha st Marys.

  Wadau hebu niambieni kuna chembe ya Mungu ndani ya mama huyu?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Huyo Mama ni zaidi ya umjuavyo,ni zaidi ya tapeli.
   
 3. Mchaga 25

  Mchaga 25 JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  loh mwacheni mama wa watu ajinywee bia zake baridi jioni argh nyie vipi bwana,

  Tanzania kila kitu kinawezekana
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,864
  Trophy Points: 280
  sasa hamtaki chuo kianzisshwe jamani? si bora huyo kuliko hayo mafisadi yanaiba mabilioni yanaenda kuyahifadhi huko marekani? lakini simtetei kivile.
   
 5. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Jamani akianzisha chuo kikuu,atacreate employment.Sasa lipi baya hapa?
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  kutokulipa mishahara
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Walokole wa siku hizi bwana!
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  baya ni mbinu alizotumia kupata hilo eneo!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,864
  Trophy Points: 280
  waalimu lakini si wamezoea kutolipwa?
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Huyu mama nasikia mgumu kulipa mishahara
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mume wangu ,nimetembea na nabii na mtume na baba-source- mwingira mke wa muumini
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona unahamisha mada toka kwa mama Rwakatare kwenda kwa "walokole?" Au unafikiri walokole wote wanasali kwa Rwakatare?
   
 14. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Anyanganywe hiyo sehemu. Jizi kubwa
   
 15. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  labda employment kwa waganda na wakenya ndio anaowapenda yy, kama alvyowajaza kwenye shule zake za st marys
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kwanini atumie mgongo wa watoto yatima? Hata kama angefanya investment ya kuajiri Tz unemployment wote bado deni kwa Mungu na kwa waTz wote linabaki pale pale, isitoshe she act as woman of God
   
 17. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mama mjasiriamali wa ukweli
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Baya ni kwa hao watoto yatima watakaokosa hiyo haki yao
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Evolution imegusa kote kote na sasa inafungia kazi kwenye dini
   
 20. Chriskisamo

  Chriskisamo Senior Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaelekea wakuu mnakua sna data za huyu mama ndo maana aling'aka bungen juu ya jamiiforum.
   
Loading...