Uongozi katika chuo kikuu cha dodoma (udom) wapata aibu kubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi katika chuo kikuu cha dodoma (udom) wapata aibu kubwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JUNGU MTU, Feb 16, 2012.

 1. J

  JUNGU MTU Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeme wakatika wakati wanafunzi wakifanya mtihani.Ilikuwaa yapata saa 1:30pm hivi toka mtihan uanze na kuisha ilikuwa ni saa 2:00pm.Hivy Utawala ukatoa tamko kuwa mitihan ikusanywe hata kam mwanafunz hajamaliza kujibu maswali yote!Hii ni aibu kubwa kwa chuo kikubwa kina hicho kukosa Generetar katika eneo lakufanyia mitihani.:A S 465:
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Uongozi? aibu?
  Kwani nchi yetu ina utamaduni wa Kiongozi kupatwa na aibu ya jambo lolote?
   
 3. D

  DOMA JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Udom kuna zaidi ya majenereta 25 na tano lakini tangu nimesoma pale mpaka namaliza haijawahi tokea yakawashwa hata siku moja sasa sijui waliyafunga ya nini maana ni makubwa narudia kwa kweli ni makubwa
   
 4. kikaragosi

  kikaragosi Senior Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bac yapo kama urembo
   
 5. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Haina shida Sana kwa kuwa ni Chuo kikubwa Mtapewa "A+" nyote , ingetokea chuo kikuu udsm paper ingerudiwa kwa kuwa ni chuo cha CHADEMA, ila udom yenu ya ccm walaaa msiwaze
   
 6. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,343
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  kile ni choo kikubwa East Afrika na kati.
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  chuo cha kata at work lol
   
 8. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  aibu ya umeme kukatika tz!? umeme unakatika seriouz places kama hosptal-theatre, ww unazungumzia udom mnafanya mthan ktu gan?? C mnarudia pepar!
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Watu washakula hela hapo kwa kuleta skrepaz!!
   
 10. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nyie ndio mnao kichafua chuo chetu kwa habari zisizo na mbele wala nyuma na ndio tunaowatafuta
   
 11. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tunaoijua udom tunabaki tunawashangaa wanaoshangaa!
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  chuo cha chenu ni full of ****,mjirekebishe la sivyo ipo siku dhuluma itawatokea puani,mmewadhulumu graduates wa mwka jana hela zao za majoho since nov mpaka leo feb hamna kitu!mtalaaniwa nyie na tamaa zenu
   
 13. +255

  +255 JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Ant-UDOM @WORK, Kwa hy UDSM ni cha CHADEMA!? Aisee pole sana nyie ndo wale mnaofata mkumbo!!
  Tanzania hii umeme unakatika kwenye ma-Hospitali, ulikatika uwanja wa taifa na hamna measures zozote zinazochukuliwa unashangaa UDOM!
  Kwa case ya UDOM kuna baadhi ya issue bado zipo chini ya "WACHINA", umeme ulipokatika nahisi hawakuwepo eneo la tukio! Inakuwa ka ilivyotokea Uwanja wa Taifa!
  Mitihani lazima irudiwe, sometimes inakuwa ni option ya lecturer kwa kuwa muda karibu ulikuwa uishi (30') anaweza kupunguza swali moja la ku-mark
   
Loading...