Kofi olomide mbakaji !!!du... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kofi olomide mbakaji !!!du...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwame Nkrumah, Feb 17, 2012.

 1. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Du..noma, sisikilizi tena muziki wake, nikienda kwenye mnuso muziki wake ukipigwa nitatoka nje kupunga upepo.


  French judge charges Congolese singer Olomide with rape - Africa |nation.co.ke

  Source: DAILY NATION.

  [h=1]French judge charges Congolese singer Olomide with rape[/h] [​IMG]Share [​IMG] Bookmark [​IMG]Print [​IMG]Email Rating
  [​IMG] Picture taken on April 30, 2005 in Dakar of Congolese singer Koffi Olomide performing at the Iba Mar Diop stadium. A French judge charged Congolese music star Koffi Olomide with three counts of rape and illegal confinement on February 15, 2012. Photo/AFP
  By AFP
  Posted Wednesday, February 15 2012 at 21:14

  PARIS  A French judge has charged Congolese music star Koffi Olomide with three counts of rape and illegal confinement after complaints from three of his former backup dancers, his lawyer said Wednesday.

  "Koffi Olomide went Monday afternoon of his own free will to answer a summons by an investigating judge in (the Parisian suburb of) Nanterre, where he was charged," Olomide's lawyer Manuel Aeschlimann told AFP.

  The singer has since returned to the Democratic Republic of Congo, he said, without waiting for a French ruling on whether he should be held without bail.

  Aeschlimann said a former dancer had filed a complaint in 2006 and that two years later two more dancers followed suit. One of the plaintiffs was a minor at the time of the alleged sexual assaults.

  He said the case against Olomide was "empty and hollow. There is no material evidence and the statements of the three women who accuse him of rape contain numerous contradictions."

  Aeschlimann alleged that the women filed the complaints in the hopes of obtaining temporary French residency permits.
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hahahaaa nasubiri wadada wa kibongo waje waseme hao anaotuhumiwa kuwabaka walijitakia wenyewe....:lol::lol:
   
 3. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hi nilipoisikia majuzi nikajua april 1 kumbe ni true shity..
  .. Koffi bana.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hivi bado yupo hai?
   
 5. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hiyo mbona iko wazi,kwani umri wa yule "mkewe" cindy le coeur na wake mbona ni kama mtu na mjukuu wake,halafu eti akamuhonga babake cindy gari aina ya jaguar,njaa mbaya kweli wadau.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huuuuhh................IKIBINDA NKOI.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ekobanga binute! Ekobanga nzambe na ngai alleluyaaaah,shivunduuuuu!
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  midada mingine bana..sasa mnavosiliba miuno na kukaa nyumbani kwake mlitegemea koffi joka la kibisa....
   
 9. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #9
  Feb 17, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  hapo chacha.... wamebeep wakapigiwa wanalalamika nini??
   
 10. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  papa mukulu, wapi kati na yo! Bandeko na nzzali ya motema, papa nini?
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huyu ndio mtoto CINDY anaebakwa na koffi kwa sasa,ambae kamfanya kama mkewe kabisa...hebu msikie navyosema mwenyewe kuhusu yeye na koffi,kuna mahalia anasema hivi..."nzoto na ngai le coeur(cindy) elengi na nga mopao",mnajua lingala mtaelewa jinsi mtoto alivyojikabidhi mzima mzima mwili na mwili wake kwa koffi..

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Feb 17, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kuna wakati watu hujitakia umaarufu bila kujiuliza,tangu 2006 walipochakachuliwa kama ni kweli walikuwa wanasubiri nini mpaka leo kufungua hizo kesi za kubakwa?
  Hivi kama kila mwanamke akiamua kusema fulani alimbaka wakati fulani na kufungua kesi hivi sisi wanaume tutapona kweli?
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  wanataka kummaliza kimuziki na kipesa tu,
  inawezekana alizoea kukopa wakamlia timing.
   
 14. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kesi ni process mzee,kwani umeambiwa hii kesi imeanza leo?katika utetezi wake koffi kupitia wakili waje amekuwa akidai wasichana hao wanamsingizia bosi wao huyo ili wapate vibali vya kuishi ulaya...kitu ambacho pia kinawezekana wacongo wanapenda sana kuishi paris na wamekua wakitumia mbinu nyingi sana kubakia huko wanapoenda kufanya show..hivyo yote yanaweza kuwa majibu kwa kuwa koffi kamchezo hako pia anako sana kwa wanamuziki wa kike
   
 15. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmmmh!
  mabig!
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,566
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  ndo msibake sasa alaaa!
   
 17. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Da hehe heheeeeeeeeee walisahau kuwa chui ni chui hata akivaa ngozi ya kondoo,pedeshee Koffie ni balaa kwa batoto,hivi sasa kakaoa kale ka kuku ka kienyeji kalikokuwa kanaimba kwaya akakafanya kaimbaji kake hata kuimba wala hakajui,kakachukua kakiwa kifaranga na sasa nasikia kametotoa ,temba likiwa Mopawo mwenyewe
   
 18. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dalakupe!
   
Loading...