Makampuni ya Simu yakiongozwa na TIGO ni wizi mtupu. Tuyagomee ili yaache kutuibia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makampuni ya Simu yakiongozwa na TIGO ni wizi mtupu. Tuyagomee ili yaache kutuibia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by faloyce2001, Feb 16, 2012.

 1. f

  faloyce2001 Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naandika tena kuyataka makampuni ya simu kuweka wazi gharama zao za kupiga simu badala ilivyo sasa ya kuibiwa kwa kukatwa gharama kubwa bila taarifa. Kwa mfano Tigo wanadanganya kuwa gharama ya kupiga simu eti ni sh 1 kwa sekunde wakati ni uongo mtupu. Wadau jaribuni kufuatilia mtagundua gharama za kupiga simu tigo kwenda tigo ni zaidi ya sh 4 kwa sekunde. Tigo acheni wizi huo au tuhamie kwenye basi jekundu? Kama mnataka kufa kufeni wenyewe msife na watu. Ninyi ni Mafisadi kama mafisadi wengine.
   
 2. kijana15

  kijana15 JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 640
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Jamani wana jf , mtandao wa tigo umekuwa wakitapeli, mimi sijajiunga na promo zao zozote wala sijihusishi na bahati nasibu zao. Lakini mwenyenu nakatwa pesa daily . Tena viwango tofauti tofauti. Mara 34 mara 60 wakati mwingine 100. Bila sababu yoyote na hawatumi sms kuni inform kuwa wamekata kiasi cha pesa kwa malipo fulani. Wanafanya kimya kimya. Utakuta nimeweka mfano 500 au 1000 bila kuitumia ikifika kesho yake nikicheck balance nakuta tayari wamesha mega credit yangu. Pia jamani wana jf mtandao huu wa tigo umekuwa ndio mtandao ambao unatoza bei ya juu kuliko mindanao mingine. Mfano kama una 500 kupiga simu tigo - tigo utaongea dk 2 au 3. Wakati kwenye mitandao mingine kiasi hicho cha 500 unaongea dk 5 hadi 6. Hawa jamaa wamekuwa matapeli jamani.
   
 3. kijana15

  kijana15 JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 640
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  na tigo ndio wanaongoza kwa wizi waki macho macho yaaani wanakata pesa kimya kimya bika hata taarifa tena utakuta hujajiunga na huduma zao zakijinga eti nyimbo asikie anaekupigia alafu wewe ulipe huo siniujinga huo wangwana. Alafu pia kupata huduma kwa wateja kwa simu nikazi kubwa tena uweradhi kupoteza muda wako kibao kuwatafuta na pia unaweza usiwapate kabisa. Tigo mnapoa sana mimi siwapendi na line yenu naitupa.
   
 4. m

  moshingi JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TCRA WAKE UP!!!
  TCRA WAKE UPPPPP!!!
  TCRA ARE YOU THERE????
  TCRA ARE YOU STILL ALIVE OR DEAD???!!!

  PROFESSOR MBALAWA WHAT ARE YOU DOING AT THE MINISTRY???? I wish Hon. Mwanri should be empowered
  to deal with these Telecommunications Companies...

  TCRA = Tanzania Communications Regulatory Authority
   
 5. f

  faloyce2001 Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa regulators wanashibia huku huko hawawezi kuwadhibiti kwani kuna asilimia fulani hutoka kwenye haya makampuni kwa ajili ya kuendeshea shughuli za regulators. So the more the companies fetch from us, the higher the commission given to the regulators. Same applies to sumatra, ewura and others.
   
 6. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yan hapa mmenitonesha kidonda cha kulala giza na kutoangalia mpira kisa tigo pesa,tulijisahau luku ikakata nikaamua ninunue kwa tigo pesa lol!nilijuta kwanza baada ya process ya kununua wakakata kiachi cha pesa na kunitumia msg ya mwamala umekamilika,wandugu mpaka leo saa saba mchana hawakutama umeme wala nn,mpaka nimeenda oficn kwao ndio wakanipa namba za umeme eti zilikwama hewan!nimekoma na nishahamishia kasalio kangu airtel money!
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hamia airtel.

  wenzio huyo marehemu tulishamsahau.
   
 8. s

  sugi JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  na voda nao mi music swaga full wizi,wanakuunganisha bila hiari,kujitoa ni ngumu
   
 9. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TIGO ni Kama TIGO yenyewe, wizi mtupu, wanaweka bahati nasibu ya kupata milioni 4 halafu wanachagua watu wao wanawapa laki 4 kila mmoja, halafu wanatokea kwenye TV eti ni washindi, ungese mtupu, na kama wanabisha niwalipue, evidence ninazo.
   
 10. f

  faloyce2001 Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kweli tigo ni tigo haiishi kunuka hata usafishe vipi!! Mimi nahamia kwenye basi kubwa jekundu
   
 11. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wezi kabisa
   
Loading...