Hivi huyu Ngeleja anatufanya WaTZ wote hatuna akili, anazungusha na hasemi asilimia ya madini kwenye pato la Taifa hapo Clouds, eti Madini yanakaribiana na Utalii, mara sijui yanachangia kuendesha...
Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha Alipozungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Ndani katika kipindi cha Miaka 50 ya Uhuru
Hotuba ya...
Kutokana na vurugu, maandamano na mauaji yaliyotokea jana Wilayani Songea, kuna habari nilizozipata jioni hii ni kwamba Police wanaendelea na msako Wilayani hapo na kusambaratisha aina ya...
hata cku moja nchi haiwezi kuendelea kwa kila jambo kuundiwa tume,ambazo mapendekezo yake hayafanyiwi kazi.!waziri mkuu ameunda tume ya kuchukunguza mgogoro wa ardhi huko shinyanga,na chanzo cha...
wana JF tokea mgomo utokee mpaka sasa Dr 37 wameondoka na nilikua naongea na dr mmoja nae passport kaikamata na kutimiza idadi ya 38.
Source: daktari niliyekua naongea nae hapa uhamiaji ...
wameanza kukata 8% tofauti na makubalianop ya awali ya kurejesha kwa kipindi cha miaka kumi. Mi kwa mfano baada ya kuanza kazi walianza kunikata sh. 17,000 kwa mwezi ili baada ya miaka kumi niwe...
Clouds FM wameanza promotion ya fiesta ya dar leo ikiwa ni siku moja baada ya sugu kupatana na ruge,mkumbuke fiesta ya mwaka jana ili-affectika sana kimapato kwa ajili ya same day sugu walikua...
Swali la kwanza: Wanafunzi kuandika matusi na bongo fleva kwenye mitihani ya kumaliza kidato cha nne
Jibu: Wafungulie mashitaka kwa kutukana na wachunguzwe akili zao..... really??
Swali la pili...
Tangu kuanza kwa harakati hizi za vyma vingi nilijisemea moyoni lazima niongeze uzazi ambao utasaidia mageuzi ya haraka hapa Tanzania, baada ya kuona mafisadi wanapandikiza watoto wao kwenye...
Wakati jana polisi ikijeruhi na kuwaua baadhi raia waliopinga kuuwawa kwa wenzao na kinachosemekana kikundi cha siri toka msumbiji, wananchi wa eneo la mshangano wamemkamata raia m1 wa msumbiji...
Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini...
Aishi miezi miwili bila kula
Picha halisi ya tukio
Umea Sweden, Mwanamume mwenye umri wa miaka 45 ameokolewa akiwa hai baada ya kunaswa na theruji. Tukio hilo limejulikana na watu wanaopita...
Kumeibuka mjadala mkali kuhusu sumu aliotiliwa Mhe. Harrison Mwakyembe; na inaonekana Polisi wetu hawana uwezo wa kukumbuka au kwa maksudi, wanapuuza matukio ya wakubwa kutiliana sumu. Hii ni...
Haya katika kufuatilia mwenendo wa siasa na uongozi nchini mwetu nimegundua katika matatizo mengi tuliyonayo moja ya vyanzo vya matatizo ni la kufanya maamuzi. Kwa lugha ya kimomdbo tunasema...
Leo nimepita manzese TIP TOP mtaa wa migombani barabara inayoelekea nyumba ya kulala wageni ya mjapani na nyinginezo nimeshangazwa kuona UJENZI HOLELA katika zama hizi za kupanga miji nkajaribu...
Tanesco ndo wameanza tena mgao wao au vp? Maana umeme haushikiki kwanza uko juu alaf wanakata,yaani ni aibu kwa nchi kusikika ikilia eti shida ya umeme! AIBU
Kweli kabisa sisi ni wazalendo wa kweli na nchi yetu lakini sasa tunavunjwa nguvu na baadhi ya watendaji wa hidala husika , kweli tuna uchungu sana pesa za serikari zilizotumika kuwasomesha...