Kwa watumishi wa TANAPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa watumishi wa TANAPA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AUTOMATIC, Feb 23, 2012.

 1. A

  AUTOMATIC Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yapata mwezi mmoja tangu tusikie juu ya uvumi wa gawio la bonus lakini haiko wazi na inasemekana tutaichukulia bank. Jee hii ni kwa hifadhi zote au wengine watachukulia dirishani? Na ni kwa nini kumekuwa na ucheleweshaji wa namna hii? MKURUNGENZI anajua kama watumishi wamekata tamaa ya maisha?
   
 2. m

  matawi JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nilivyosoma ulichoandika nime scrol kujua mwandishi ni nani nilivyoona ni AUTOMATIC nikajua akili yako inafanana sana na jina maana umejua watu wataelewa AUTOMATIC hata wasipopewa maelezo
   
 3. t

  thengoshahimself Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kwel mtata bonus mpaka jf.c wengne tuko udom tunasoma tourism hatujui hata km kaz tutapata tukimalza.sa uniandalie njia hata mm
   
 4. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  automatic ondoa ufisadi wako hapa. Hapa ni greathinker. Mods naomba u fute hii thread hatupo hapa kwa masilahi ya mtu bali umma. Automic aibu kwako.
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watanzania kwa kulalma hatujambo.Weweumechukua hatua gani?JF ndio watakupa hiyo Bonus???
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe Automatic hujui TANAPA ni moja ya mashirika ya umma yanayolipa vizuri umewahi kujiuliza madaktari na waalimu wanalipwa bonus shs ngapi ?.
   
Loading...