Ngeleja na Jahazi la Clouds FM-Mbona hasemi asilimia ya Madini kwenye Pato la Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja na Jahazi la Clouds FM-Mbona hasemi asilimia ya Madini kwenye Pato la Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jadi, Feb 23, 2012.

 1. J

  Jadi JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Hivi huyu Ngeleja anatufanya WaTZ wote hatuna akili, anazungusha na hasemi asilimia ya madini kwenye pato la Taifa hapo Clouds, eti Madini yanakaribiana na Utalii, mara sijui yanachangia kuendesha serikali, mara anapigia hesabu mpaka PAYE ya waajiliwa mgodini, wageni wengi wenye mishahara mikubwa hawalipi kodi, ni kampuni za Ulinzi na wengine wadogowadogo.

  Anayejua jamani atusaidie madini yanachangia asilimia ngapi ya pato la Taifa.
   
 2. u

  ukweli2 Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  barrick--3% tuuu ndoinaenda kwenye govment zilizobak zote cjui cnapokwenda
  kampun nyngine cjuii wanatoa ngapi..
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ubabaishaji na wizi mtupu. Ndo maana CCM hawako tayari kuachia madaraka kwa gharama yoyote maana wanajua watawajibika kwa hayo.
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  PAYE ya waajiliwa nayo ni direct income from mining..!
  Kweli waziri tunaye na serikali tunayo!
   
Loading...