Bodi ya mikopo wamekiuka mikataba yetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo wamekiuka mikataba yetu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIDUNDULIMA, Feb 23, 2012.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  wameanza kukata 8% tofauti na makubalianop ya awali ya kurejesha kwa kipindi cha miaka kumi. Mi kwa mfano baada ya kuanza kazi walianza kunikata sh. 17,000 kwa mwezi ili baada ya miaka kumi niwe nimemaliza deni lao lote. Nikiwa nimelipia deni kwa miaka mitatu ghafla kwenye mshahara wangu wameanza kukata sh. 250,000 kwa mwezi jamani mabadiliko haya yameniathiri sana kiuchumi maana sikujiandaa kwa hilo.

  kwa wana sheria nisaidieni. naweza kuweka injunction ya mahakama kuzuia makato haya mpaka tutakaposeattle mkataba wangu na board?
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  What? sh.250,000.00 kwa mwezi? bila taarifa? hakyanani hii bodi sijui kama huwa wanafikiria kabla ya kutenda.

  Hata benki ukienda kuomba mkopo kabla hujakopeshwa wanaangalia na kiwango cha mshahara wako kwanza ili baada ya makato ubakiwe na kiasi cha kutosha kumudu maisha. Sasa hawa loan board kwa staili hii wasishangae wanufaika wa mikopo kuendelea kujificha kwa kuhofia haya makato yasiyozingatia mkataba wa mkopaji.
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Mhh. Mshahara wako ni kiasi gani?
   
 4. M

  MYISANZU Senior Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana. Wanasheria wapo, watafute wakusaidie.
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Mhh jamaa una mshahara mkubwa kuliko madaktari wetu
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Piga tu mahesabu 250,000 ni asilimia ngapi ya basic salary?
   
 7. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  si unajua tena serikari yetu imetugawa kwenye matabaka
   
 8. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Mshahara wake ni TZS 3,125,000.

  Ila bodi hawajatulia kabisa. Tena wanabadilisha rate kwa kiwango na wakati wanaoamua.
   
 9. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ss hivi jamaa wanakata 10% ya mshahara wako kabla ya makato,b4 walikua wanakata 8%ya net paid baada ya makato ndo maana imependa kwa kasi ila hata hivyo ni nyingi sana 10% ya hiyo laki tatu si hiyo may be atakua amepigwa na penati
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  unyonyaji wa bodi ya mikopo,
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  duh, sio fair.
   
 12. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  Mi naona, labda hawana pesa ndio wanazitafuta kijanja!
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Bodi ya Mikopo wameanza kuwa wakali kudai pale Serikali ilipokiri kuwa haina fedha.
  Bodi ya mikopo imewaweka hata waliomaliza mwaka jana kwenye kundi la wadaiwa Sugu.
  Baadhi ya watu pia wamewekwa kwenye kundi la wadaiwa sugu ilhali bado hawajamaliza vyuo..
  Kwa kifupi watendaji wa Bodi ya mikopo wanakurupuka kufanya maamuzi badala ya ku act kisomi..
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wakinikata hela nyingi nje ya makubaliano naacha kazi kabisa,nikiajiriwa sehemu nyingine ndio nanegotiate mshaara mpya including deni lao ila kwa huu mshaara wakate tena bodi khaaa bora nirudi kijijini nikaendelee kukata mkaa tuone itakuaje kama mbwai mbwai.
   
 15. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ni kweli huu utaratibu wa Bodi wa kukata 8% umevuruga kila kitu. Mimi mwenyewe nilianza kuwalipa toka mwaka 2007 mara baada ya kugadruate 2006. Lkn ghafla mwaka huu wameanza kunikata 8% badala ya 22,000/= waliyokuwa wanakata kila mwezi na kwasasa wananikata zaidi ya 150,000/= kwa mwezi. Kwa kweli huu ni unyanyasaji mkubwa, kwani mimi mkataba nilioingia nao ni wa kukatwa 22,000/= kwa miaka 10 toka 2007 lkn si huu wa 8% kwani hakujawahi kuwa na makubaliano hayo mapya na bodi ya mikopo. Na mbaya zaidi kwasasa nimesafiri nje ya nchi, hivyo nashindwa kufuatilia na kujua kulikoni?

  Kwa hakika hii hali imetuathiri sana.
   
Loading...