Semina elekezi online - decision making process and model | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Semina elekezi online - decision making process and model

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Jul 7, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya katika kufuatilia mwenendo wa siasa na uongozi nchini mwetu nimegundua katika matatizo mengi tuliyonayo moja ya vyanzo vya matatizo ni la kufanya maamuzi. Kwa lugha ya kimomdbo tunasema decision making.

  Najua viongozi wa serikali ,mashirika na taasisi wanahudhuruai semina elekezi nyingi lakini nina wasi wasi kwenye semina elekezi walizohudhuria wamewahi kukumbushwa umuhimu, faida na hasara za kutokuwa na standards/model katika kufanya maamuzi ya kiofisi.

  Viongozi na watendaji wakiwa na structure maaluma ya kufuta au system kabla ya kufikia maamuzi fulani basi asilimia kubwa uamuzi watakaofanya utakuwa ni sahihi.


  Kuna nyenzo nyingi na rahisi mfano mojawapo inaitwa decision tree (soma http://www.mindtools.com/dectree.html ) inayoweza kutumika kuumpa picha decision maker

  • Faida au hasara ya kila amuzi atalofanya
  • Faida za muda mfupi na muda mrefu wa kila maamuzi atakalofanya
  • Gharama na kila maamuzi
  • Risk ya kila maamuzi
  Karne hii kuna mifumo ya computer inayoitwa Decision Support system ambayo data sahihi zikiingizwa basi Decison makers wetu wangefanya maamuzi sahihi ya kifedha, afya , elimu etc.

  Je

  • Je wizara idara mashirika yanatumia decsion making model gani katika kugawa tender,kuwekeza,kubinafsisha, kuajiri, kupanga bajeti?
  • kuna mambo tunshindwa kupiga hatua sababu viongozi wetu ni risk taker katika maamuzi yao?

  • kuna shemu tunashindwa kupiga hatua sababu viongozi wetu ni risk avoider katika maamuzi yao?

  • Sekta gani au maamuzi gani ya yainahitaji decison maker amabao ni risk taker na sekta au viongozi gani wanataiwa kuwa risk avoider?
  • Kwa nini na Vitu gani vilizingatiwa au vilitiliwa wa maani kuamua kuuza hifadhi yetu ya dhahabu?
  Wenzetu kwenye karne hii ya sayasi na Teknolojia hawafanyi tu maamuzi kwa uzoefu. This world we are living is complex na kuna factor nyingi za kuzingatia ambazo kichwa cha binadamu sio rahisi kuzinyambulisha zote na kufanya maamuzi bila msaada wa teknolojia. Ndio maana katika mifumo ya kompyuta una system zinaitwa Decision Suport system ( DSS)

  Kwa article mbali mbali la hili somo nyeti hasa kwa viongozi tembelea au mnaweza ku google Decision Making process.
  http://www.decision-making-confidenc...ng-models.html
  http://www.decision-making-confidenc...ng-models.html
  DECISION MAKING PROCESS
  Kashfa kama za Richmond, Radar na nyinginezo zinaoneysha Decsion making za serikali na taaisis nyingi kwa asilimia kubwa zinategema mtu badala ya utaratibu na model fulani. Hili ni tatizo.

  Hiyo ni semina yangu elekezei kwa viongozi wote.

  Karibu tueedelee kutoa semina elekezi huru

   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mhhhh
  hakuna mtu mwenye semina elekezi ya zaidi au kupunguza kuongeza an kuponda kamchango kangu.
   
 3. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mtazamaji, Wa TZ tuwavivu kusoma.
   
 4. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mchango wako n mzuri sana japo una mapungufu fulan ya kiukufunz sijui n kwa sababu hukulenga kutoa semina elekez kama kichwa habari kinavyosomeka au hukujua ufanye nn kufikisha ujumbe ni kama umetoa utangulz wa jambo ulilotaka kulizungumzia na ukaacha kuongelea kiin cha chambo.
  Kwa mfano umetoa aina za watu kama risk taker na risk avoider lakn hujaeleza kwa undan khusu watu hawa, umeongelea DSS lakn hujaitolea ufafanuz na wala hujaeleza aina za decision making wala proces za decision making.
  Umejaribu kutoa source congrats bt that is not enough may kama semina bado inaendelea. Bt gd start its a gd thng to do.
   
 5. j

  join9527 Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hahaa mkuu umesema kweli nimejaribu kugusa gusa tu sababu hii semina ya online inaweza kuwaboa . Si unaona mdau mmoja kasema sisi tu wavivu wa kusoma.

  Kifupi nilichotaka kusisitiza inatakiwa kuwepo semina elekezi kwa vingozi na watendaji wote inayohusu somo la kufanya maamuzi ( ya kiofisi). na semina elekezi sio lazima wasubiri waitwe Ngurdoto. Wanatakiwa wasome watafute information jinsi viongozi na makampuni mengine yanavyofanya maamuzi.

  kuhusu risk taker na ovoider nilitaka kusema kuna baadhi ya maamuzi au mambo inabidi risk zikubalike na kuna baadhi ya maamuzi mtedaji hatakiwi kuchukua risk. Sio Sula la mtu kuwa risk taker au avoider. Noo hi ni wrong.

  Kinachotakiwa sitution iliypo yaani tatizo ai issue ndio ina determine kama maamuzi yanayotakiwa yazingatie risk fulani au yakwepe kabisa risk. Na ta kama ni kchukua risk iwe ni calculated risk huku ukijua kabisa ni risk gani zinaweza kutoke ana madhara yake na ni hatua gani utachukua.

  Liimejia wazo sijui huko kwenye semina elekezi zao huwa wanafanya nn ndio maana nikaona labda inatakiwa wawatafute wataalamu kama kina Billgates wawape shule ya model mbali mbali za kufanya maamuzi. Au Wawatafute wataamu wa Pricecoopers wawape darasa japo la siku moja juu ya kufanya maaamuzi.

  Tatizo sio mwandishi so naweza kuruka kuruka na mtiririko wangu usiwe mzuri.

  lakini mkuu na wewe toa semina elekezi yeyote kwa vongozi wetu. Si unaona tuna leadership crisis. teh teh teh
   
 7. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wazo zuri ,ila semina Elekezi yako ina mapungufu yafuatayo:
  1-Semina yako haina Seating Allowance wala Per Diem
  2-Semina ili iwe Elekezi lazima Mkuu wa Kaya awepo
  3-Kumbuka uongozi unaupata kwa Kujuana na siyo kwa uwezo mzuri kitendaji ila kwa uwezo mzuri ktk Ku-Network
  4-Tunafanya maamuzi kisiasa zaidi.
  5-Viongozi huwa hawawajibishwi na waliowatuma-i.e Wanainchi ila wanawajibishwa na wanasiasa wenzao

  Mtoa mada mawazo yako yanafaa ktk nchi kama Rwanda ,Botswana na nchi zingie nje ya Africa.
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haaahaha basi kazi tunayo
   
 9. m

  mikogo Senior Member

  #9
  Jul 31, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tu wavivu wa kusoma ni sawa. Watawala pale juu wagumu wa kukubali au kwa makusudi tu huamua wanavyoamua ali mradi wanaridhia ofisi zao na sio wanaowaongoza
   
 10. L

  Laurel421 Member

  #10
  Sep 5, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusoma.[​IMG] [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 11. M

  Mtanganyika1 Member

  #11
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu tunashukuru,ila watanzania wengi wavivu wakusoma habari ndefu.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  hahhahahahah hiyo ni kawaida ya wanasiasa lakini inashanagza hata wanasheria wetu wa Tanzania nao wana alagey na document ndefu...........

  Ndio maana hata mikataba wanshindwa kusoma wanakimblia kuweka sahihi. Siku mambo yakiharibika ndio wanagundua ohhhhh kumbe maamuzi fulani sikutakiwa kuyachukua kwa pupa au kwa mazoea

  tratibu tutafika
   
 13. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hapa tusizunguke zunguke ukweli ni kwamba most of our decision makers are very slow in making those maamuzi na funny enough waoga, na sababu kubwa most of them are unfit not only for the post they hold but even for human consumption, B'se they are not for the public interest.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sio kuzunguka mkubwa Some decision na strategic decion sometime na most time ni complex. Sasa ama decionmkaers hajui hilo ndio mwazo. kama hajui atumie model gani au kabla ya ufanya maamuzi ni vitu gani vitazamwe basi ndio huo Uslow.

  Kuwa slow ni sababu maamuzi sometime yanategema mtu sio utaratibu. Na ndiomaaana nimeweka semina hiyo. Kama kungekuwa na Decsiom making model basi hata BOss fulani akiodnokaa anajua aliyepo atafanya maamuzi ambayo hata kama yeye angekuwepo angeyafanya.

  Na unavyosema they are unfit inawezekana kweli sabbau most decsin ion makers hawajui How technology iliyopo ipo kwa jili y kuwasaidiakufaya maamuzi sahihi . Biilgates na Microst walipofikia hawezi kununa skype kw akutoka kichwani au kuungana na Nokia bila kuangalia na Kufuata Investment decion Model waliyojiweka. Kila upande na taisis makini ina Decision model au mdel unazotumia ziwe ni manual au computerised Zipo.

  Sasa sisi hatuna haya mambo watu wakimaliza shule na kupass theory Exam hawajui katika real life yanatumikaje.
   
 15. Profee Essoree

  Profee Essoree Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo maana ukaitwa Mtazamaji, ni kweli kaka upo sawa,ila fikiria ushauri wa Saharavoice!
   
 16. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sasa hivi mambo ni worse sana kwa watendaji wetu,kwa vili hakuna decision making standards, tabia za bosi ndio zinasimama pale. Kama bosi hapendi hiki basi hakitafanyika provided kwamba ana mamlaka nacho, haijalishi kina tija au hakina tija.
   
 17. l

  linda87st Member

  #17
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mhhhh
  hakuna mtu mwenye semina elekezi ya zaidi au kupunguza kuongeza an kuponda kamchango kangu.​  • <

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]


   
 18. m

  mepu New Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Bwana aliyeanzisha hii mada ya semina elekezi inaelekea ana ufahamu kuhusu risk management. Lakini inaelekea amesahau kuwa sio 'risk' zote ni appropriate. Unachukua risk unaangalia HOW APPROPRIATE is the risk. Sio akili kuchukua risk kwa mfano kujirusha kutoka ghorofa ya tatu ukasema ngoja nione itakuwaje. UTAKUFA TU!!! kwa hivyo hawa wenzetu inwezekana kabisa wanatoa maamuzi wanayoyatoa huku wakijua matokeo yake yatakuwa ni nini. Kwa sababu maamuzi hayo hutolewa baada ya kushawishiwa huwezi kutegemea yakawa ni maamuzi ya kuwasaidia walio wengi. Wanatoa maamuzi hayo wakijua wao watafaidika nayo. Kungekuwa na consequncies anazokabiliwa nazo mtu wa aina hiyo ambazo tumezipanga sisi wananchi labda wangeogopa kufanya maamuzi hayo ya kipuuzi. Semina elekezi ni kiini macho tu!
   
 19. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,075
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Ulichotoa ni maelezo yanayozunguka na kumuacha mtazamaji aamue mwenyewe cha kufanya au aelewe viti.
  Ila kama ungerahisisha zaid ingekuwa nzuri, yaani uelezee nini kinahitajika kabla ya kufanya Decision Making (Sound Decision).
  Ningekuwa mimi ningesema unachohitajika kupitia au kuwa nacho ni kama ifuatayo.
  1.Pilot study (Just a simple one)
  2. Data Collection
  3. Data Processing
  4. Data Analysis

  ukishapitian hatua hizo hapo tayari utakuwa na strong Data ambayo in qualify kuwa reported ambayo ndiyo iapelkwa kwenye round table for decision making......
  Kamchango kangu ni hako tu.
   
 20. masalamado

  masalamado Member

  #20
  Nov 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kaka umenena, kwani kwa kiongozi bora, ni lazima atakuwa na uwezo wa kutafakali na kutumia decision Model zenye standard with tm limit,lakini kwa bora kiongozi ndio wale ambao wanatufikisha pale kwa kina Richmond, Dowans.Kagoda, EPA,.Endelea mjomba kutoa somo
   
Loading...