Kamatakamata yaendelea Wilayani Songea"

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Kutokana na vurugu, maandamano na mauaji yaliyotokea jana Wilayani Songea, kuna habari nilizozipata jioni hii ni kwamba Police wanaendelea na msako Wilayani hapo na kusambaratisha aina ya mikusanyiko yoyote watakayo kutana nayo; pamoja na msako huo watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nao wameuawa katika eneo moja liitwalo Mkuzo wilayani Songea.
Source ni mkazi wa Wilayani hapo(Songea).
 
Back
Top Bottom