Siku moja baada ya sugu kupatana na ruge,clouds waanza promo ya fiesta dar!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku moja baada ya sugu kupatana na ruge,clouds waanza promo ya fiesta dar!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Feb 23, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Clouds FM wameanza promotion ya fiesta ya dar leo ikiwa ni siku moja baada ya sugu kupatana na ruge,mkumbuke fiesta ya mwaka jana ili-affectika sana kimapato kwa ajili ya same day sugu walikua wanazindua ant-virus,kuna maneno mtaani kwamba sugu kalipwa mkwanja kuzuia ant-virus isiendelea coz ina-affect sana clouds FM
  Hasa kwenye competion ya matamasha.

  Nawasilisha.
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  acha uongo fiesta dar haikufanyika the same day ya antivirus launching iliyofanyika siku moja na antivirus ni SM str8 music concert ya novemba 26 2011.
  Punguza upashkuna
   
 3. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  nilikua napita tu msije mkaninukuu
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  VINEGA ipo palepale. subilini hadi wiki ijayo utajua vinega kunani. sasa hivi kila mmoja anaongea lake toka kichwani. subili wakae watoke na neno moja ndo mtaelewa.vinega sio sugu but sugu ni kinega.
   
 5. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwasasa wakifanya show hao vinega wasanii watakuwa wenyewe na washabiki watakuwa wenyewe.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Cr@p!!:a s 112::a s 112:
   
 7. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  is this chinese?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sawa mkuu mbona unakurupuka na wewe? Kuku ni kuku tu jogoo jina,kumbuka pia st8 music na clouds fm ni pua na mdomo kwenye matamasha,fiesta zote zina mikono ya str8 music na clouds fm,kwahyo hauwezi kutenganisha ile sho na fiesta,ni fiesta tuuuuuuuu!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  inakera sana hii kitu ya napita tu, mtu anakua kama anataka tu kuonekana or something.... KIRARURARU MNO
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hv nyie msiotaka sugu apatane na ruge..mlikuwa mnatakaje? Toeni maoni yenu kistaarabu sio kishabiki!
   
 11. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hakuna ambaye alikuwa hataki sugu apatane na ruge kinachoshitua wengi ni njia ya makubaliano iliyotumika.
  Hata baadhi ya vinega wamestaajabu !
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  njia gani?
   
 13. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ili uelewe vizuri ni vyema ukiniambia unafahamu nini kilichofanya sugu na vinega kutoelewana na timu ya ruge !
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Namkubali sugu hila ni kweli njia aliyotumia sio nzuri kabisa na ndio maana magenge na vinega hawajakubaliana nae,wanasema labda walienda kusuluhisha dili lao la malaria no more,ila ant-virus ipo pale.
   
 15. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  mkuu naona upo kikazi zaidi.aya bwana!
   
Loading...