Viongozi wa manzese mnavisa au...........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa manzese mnavisa au...........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KILITIME, Feb 23, 2012.

 1. KILITIME

  KILITIME JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Leo nimepita manzese TIP TOP mtaa wa migombani barabara inayoelekea nyumba ya kulala wageni ya mjapani na nyinginezo nimeshangazwa kuona UJENZI HOLELA katika zama hizi za kupanga miji nkajaribu kuuliza nkaambiwa ni ofisi ya afisa mtendaji cha kusikitisha sana imejengwa karibu kabisa na barabara. mbele ya nyumba nyingine nkaendelea kuuliza kwa nini imejengwa mbele ya nyumba nyingine??

  nkaambiwa ni kumkomesha mwenye nyumba hiyo kwasababu hakutaka kutoa chumba kwa uongozi nnachojiuliza afisa mipango miji amekufa?????? maana hahiitaji akili nyingi kutambua kama ujenzi ule si sahihi au kuna kaarufu ka rushwa hebu jamani hizi siasa za visa zitaisha lini?? lugha ya picha ya eneo hili imenisukuma kuileta kwa wana jf wanifafanulie kama ujenzi holela na kwa wananchi tu???? kesho nkipata nauli naenda eneo la tukio na kujaribu kupiga picha mahali pale!
   
Loading...