Mimi na nyumba yangu TUMEAMUA CHADEMA mpaka Kieleweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi na nyumba yangu TUMEAMUA CHADEMA mpaka Kieleweke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nguvumali, Feb 20, 2012.

 1. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Tangu kuanza kwa harakati hizi za vyma vingi nilijisemea moyoni lazima niongeze uzazi ambao utasaidia mageuzi ya haraka hapa Tanzania, baada ya kuona mafisadi wanapandikiza watoto wao kwenye siasa, nikajisemea haikubaliki, Ngoja mimi na familia yangu tuanze kupeana darasa la Uraia na Utaifa , katika hili mageuzi hayatashindikana, kama maandiko yasemavyo huwezi kuimba nyimbo za Bwana Ukiwa Ugenini, hivyo nimeamua kuwafundisha itikadi sahihi watoto wangu , kwafaida ya kuikomboa nchi toka kwa wakoloni weusi.
  CHADEMA NI KWAVIZAZI VYOTE
  .

  [​IMG]
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Chama cha Demokrasia na Maendeleo!
  Cha makini kwa wanainchi!
  safi chandema.
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  kweli umeamua, ulichelewa wapi chadema ni kama airtel. Hawa watoto mbona wako peke yao bila mama au mama ni CUF mwanadada wa CCM?
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wakikua ndani ya mavazi hayo tu, nguvu tosha 2020. Mbona mmewabagua skafu ya chama?
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Duh huyo dogo wa tatu kulia kafanana na mwanasheria mkuu wa serekali.

  [​IMG]
   
 6. kiagata

  kiagata Senior Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hivi hawa wameshafikisha umri wa kupiga kura kweli hawa?
   
 7. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ata slaa ni fisadi pia,
  Alimfisadi mshikaji fulani akampola mke mchana kweupe.
  Lipumba yuko juu.
   
 8. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hakika watakuhukumu vijana hao wakipata akili zao kwakuwaamulia itikadi ambayo huenda hawapendi, huyu wa mwisho analia akiashiria hapendi hata hizo nguo.

  Jamboi la pili nikushauri ndugu yangu kuzaa watoto wengi ambayo baadaye utashindwa kuwapeleka shule wakakosa ajira wakapokea kofia na t-shirt za kampeni ya chama usichopenda wakatoa na kura hoko utajiua kwa sumu. Tafakari chukua hatua ya kuwasomesha kwanza. mwisho waulize wapemba kama walifanikiwa katika mikakakti hiyo ya kuzaa sana wakaishia serikali ya umoja wa kitaifa.
   
 9. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  HAPANA Hakumpora; Bali jamaa alishindwa kuhudumia hivyo alikuwa anamsaidia kulea mke. Tehe tehe tehe...............


  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 10. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  hawajafikisha, tunawaandaa kwa 2020. kama wanamiaka 7 na 8, watakuwa na umri wa miaka 18, inayotosha kupiga kura.

  nampongeza mzazi kwa mwono wake wa mbele
   
 11. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  yaani wew na Nyumba yako mmefanya CHAGUO LA BUSARA SANA!!!!

  HEKO!!!!

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  mi nadhani hii iwe kali ya mwaka
   
 13. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mizambwa kumbe hata wewe una damu ya ufisadi:teh teh teh,ngoja niwasiliane na wanajamii ili wasikupe nafasi ya kugombea kwenye baraza na wana jf.
  Umenikatisha tamaa!
   
 14. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  tena nasikia slaa ndio kaiba barafu yote ya mount Kilimanjaro teh!
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Uamuzi makini sana. God bless your whole family.
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  lazima katika kuelekea ukombozi kamili tuanze kuingiza itikadi za mabadiliko kwa kizazi kipya, tuwekeze kwa vijana wasafi, tuwaache mafisadi wawekeze kwenye majumba na anasa zingine maana kipindi kifupi kijacho tutarudisha mali zetu, tutarudisha raslimali zinazoibwa pale HAZINA KUU ya serikali, tutawafunga na kuwanyonga wezi wote wa mali za umma, si mbali ni kafibu, amka Tanzania , wakati ni sasa.
   
 17. m

  mapa Member

  #17
  Feb 20, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda sana hii. kazana kulea familia iwe na afya tele
   
 18. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #18
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  asante sana. nashukuru kwakweli, tunaendeleza mapambano kutokea ndani ya mioyo yetu, kisha kwa watoto wetu, halafu kwa majirani zetu , kisha taifa zima.
   
 19. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #19
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  yule jamaa hawezi kazi tena, kuku za kisasa zimemuathiri, umeona Slaa, mwaka tu mimba
   
 20. p

  panadol JF-Expert Member

  #20
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli ni wewe na nyumba yako mmeamua kutumikia CDM kwa sababu zenu binafsi ata Mimi na ukoo wangu tumeamua kuitumikia CCM kwa sababu ambazo tunaamini ni za msingi kama vile ni chama cha watanzania wote yeyote yule mwenye sifa anaweza pata nafasi ya uongozi si chama cha udini au ukabila au ukanda,Ni chama chenye sera zinazotekelezeka na wala si za kufikirika kama za mfalme ****,Ni chama ambacho kina mfumo mzuri wa upatikanaji wa mgombea jimboni ata mimi naweza gombea nafasi yoyote ile kuwakilisha chama changu kwenye uchaguzi mkuu kama vile Uraisi,ubunge,udiwani,uenyekiti wa mtaa au wa kijiji kupitia mfumo wa kura za maoni nanachaguliwa na wananchi wote ambao ni wana CCM jimboni lakini kwa vyama vingime majina yanaletwa toka makao makuu alafu wanadai kamati kuu imeamua wakati humo kwenye kamati kuu wako ndugu, jamaa na marafiki yani baba,baba mkwe,mama,dada,kaka, wachumba na wake zao wako humohumo kama hujulikani makao makuu imekula kwako,Ni chama ambacho viongozi wake wako karibu na wananchi na ni wasikivu kwa yale yanayosemwa na kuitajika na wananchi kwa manufaa ya taifa mfano Raisi Jakaya Kikwete hii imethibitishwa na kambi ya upinzani bungeni hizo ni bahadhi ya sababu nikisema niandike zote humu nitakesha kila kukicha,CCM Oyeeeeee,Idumu CCM daima!
   
Loading...