tumechoka kila cku tume tume,ambazo hazina tija kwa taifa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumechoka kila cku tume tume,ambazo hazina tija kwa taifa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Feb 23, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hata cku moja nchi haiwezi kuendelea kwa kila jambo kuundiwa tume,ambazo mapendekezo yake hayafanyiwi kazi.!waziri mkuu ameunda tume ya kuchukunguza mgogoro wa ardhi huko shinyanga,na chanzo cha mgogoro huo ni ocd ambaye alikwenda na kusimamia zoezi la uchomaji nyumba za wanainchi,leo amekwenda wananchi wanasema pinda aondoke naye ocd hawamtaki,zinaanza nyimbo zile zile za kuunda tume!hii yote ni kuficha kombe mwanaharamu apite.naungana na mdau mmoja aliyesema tanzania ndio nchi inayoongoza kwa uundaji wa tume duniani!
   
Loading...