Mbunge Godfrey Lema Atishiwa Kuuwawa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Godfrey Lema Atishiwa Kuuwawa....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Feb 23, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  wazee wa Arumeru wametishia Kumtoa Roho Mbunge GodBLESS Lema(CHADEMA).endapo ataenda Arumeru,kitendo hicho kimewakera kwa maneno aliyotamka ambayo yaliwaudhi.

  Wenye hbr kamili watatuelewesha vzr.

  Na Nukuu"MSAJILI wa Vyama vya Siasa, John Tendwa amemshauri Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kuwaomba radhi wazee wa kimila wa kabila la Wameru ‘Washiri’ vinginevyo hali ni mbaya kwake na kundi lake.

  Tendwa alisema hayo jana kwa waandishi wa habari wakati akizungumzia mambo ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki.

  Alisema utovu wa nidhamu alioonesha Lema siku ya maziko ya aliyekuwa mbunge wa jimbo
  hilo, Jeremiah Sumari, kiliwakera Washiri na kumtaka asikanyage jimbo hilo wakati wa kampeni.

  Alisema yeye alikwenda katika jimbo hilo kuonanana wakuu wa Serikali na taasisi zake kupanga mkakati wa uchaguzi, lakini ghafla alikutana na wazee hao waliosema mbele yake, kuwa Mbunge huyo wa Arusha Mjini, hawataki kumwona katika kampeni, vingivevyo damu inaweza kumwagika juu yake.

  ‘’Washiri wamesema hawataki kumwona Lema katika kipindi cha kampeni kwani alileta dharau kubwa na utovu wa nidhamu siku ya maziko ya Sumari, hatua ambayo iliwakera wazee hao … ni busara tu, Lema kwenda kuwaomba radhi wazee hao kama anataka kufanya kampeni ya mgombea wa chama chake- Chadema,” alisema Tendwa.

  source habari leo.
   
 2. n

  nketi JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  half full-half empty.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  empty bowl
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Full empty!
   
 5. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Very ****
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii ni hadithi ya kitoto....Paukwa Pakawa!
  Hawana jeuri ya kumfanya chochote!...Ukabila hauna nafasi Tanzania!
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  mkuu meru bado upo sana .
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Hawakuchukia mramba alipowaambia wanathamani ndogo kuliko ndege ya rais! hizi ni tungo ingawa ni busara kuzinakili.
   
 9. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  upo sana kivipi Bucho?
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kabila fulani ndiyo kabila gani hilo huko Meru?
  Hayo maneno aliyotamka hayawezekani kusemwa?
   
 11. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  paukwa pakawa!
   
 12. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wagogo wanajulikana kwa post zao.
   
 13. papason

  papason JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Wamagamba wameisha anza kampen kimtindo!
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Samahani, hivi Arumeru kuna Misikiti?
   
 15. L

  Loy New Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa ni ngumu sana lakini hayo ni maneno tu hawatamfanya kitu kuongea wataongea lakini kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji.
   
 16. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna mbunge kwenye bunge la JMT anayeitwa GODFREY LEMA???
   
 17. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,869
  Likes Received: 2,815
  Trophy Points: 280
  Hivi Godfrey Lema ni mbunge wa jimbo gani na anatoka chama gani?
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  \
  Mnajua wakuu...kwanini kufanya maisha yenu wenyewe kuwa magumu?
  Godbless Lema!
   
 19. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hayo ndiyo matatizo ya kufanya mtihani kabla ya kusoma maelekezo. Amepewa kazi na Nape aje humu JF na aandiki ujumbe wa namna hiyo kuhusu ......Lema. Kabla hajamaliza kusikia maelekezo akakimbilia humu JF
   
 20. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawataweza kumuuwa kamanda wetu labda sisi tuanze kuwauwa mafsadi pamoja na ma.ga.mba yao.
   
Loading...