Amini usiamini Aishi miezi miwili bila kula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amini usiamini Aishi miezi miwili bila kula

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Feb 23, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Aishi miezi miwili bila kula[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]
  [​IMG]
  Picha halisi ya tukio[/TD]
  [TD]
  Umea Sweden, Mwanamume mwenye umri wa miaka 45 ameokolewa akiwa hai baada ya kunaswa na theruji. Tukio hilo limejulikana na watu wanaopita katika theruji.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Wapita katika theruji hao walisema kuwa, Tulipofika eneo la tukio tulizani kuwa gari bovu limefunikwa na theruji. Lakini tulipolikaribia na kuatazama dirisha tukaona kitu kinatikisika ndani ya gari.

  Tulitazma zaidi Tukamuona mtu amejilaza katika kiti cha nyuma akiwa ndani ya Begi la kulalia. Mtu huyo akiongea kwa sauti dhaifu mno, alituambia kuwa, amenaswa hapo tangu 19 Desemba.

  Kwa kweli inashangaza sana, maana huyu mtu ameweza kuishi katika hali hiyo bila kula kwa miezi miwili.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  chanzo. Aishi miezi miwili bila kula
   
 2. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo kuna umuhimu wa kuwa na maji kila mda.lazima alikuwa na maji maana sayansi inasema binadamu bila maji ( na chakula) hawezi kumaliza mwezi.lkn na maji ana weza hadi miezi miwili.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kama wametoa wazungu sitoshangaa!!!
   
 4. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Haya pia ni moja ya maajabu saba ya dunia...!
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  hii habari ina utata labda kamaalikuwa na biscuits na bites zingine na pia awe anakula snow
  swali la kujiuliza hakuwa hata na simu ya kuita polisi au ambulance? tutaaminije kama kweli kakaa hapo mda wote huo?
  mm wala sitaamni.
   
 6. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  jamaa alikuwa anakula snow miezi yote hiyo. kule Kenya kuna jamaa yeye chakula chake ni mchanga wa baharini na bado anaishi.
   
Loading...