Mshangano waijibu polisi songea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshangano waijibu polisi songea!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bambanza jr., Feb 23, 2012.

 1. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati jana polisi ikijeruhi na kuwaua baadhi raia waliopinga kuuwawa kwa wenzao na kinachosemekana kikundi cha siri toka msumbiji, wananchi wa eneo la mshangano wamemkamata raia m1 wa msumbiji ambaye alikuwa ni mgeni na kumshushia kipigo kizito kilichopelekea kifo chake!
   
 2. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Yani natamani wangemchoma moto akiwa hai kama imeshakua mbaya bora iwe mbaya
   
 3. M

  Ma Tuma Senior Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wangempeleka polisi kama ushahidi kisha wamuue hapohapo
   
 4. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hii ni lawama kwa jeshi la polisi kutofanya maamuzi magumu mapema ss raia wa msumbiji waliopo hapo songea nahisi hawataweza kutembea mjini tena hadi hewa itulie,huyo mtu naye alikuwepo kwenye kundi la watu wanaofanya mauaji?
   
 5. N

  Nanu JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  that is really bad! haya mambo ya kuchukua sheria mkononi ni mbaya sana! hata wale ambao ni innocent huwa hili linawakuta! it is bad! lakini yote haya ni kutokana na wananchi kutopata majibu ya maswali yao kuhusu usalama wao!
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu, inasikitisha, anayewajibika kwa usalama wa raia hajui wajibu wake! anazungumzia sababu za yeye kuwaua raia badala ya kuwalinda.
   
 7. K

  Kayinga junior Senior Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hari ikoje leo?
   
 8. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haijajulikana lkn kama kawaida polisi ..'wanafanya uchunguzi'
   
 9. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pametulia lkn tension ipo juu polisi wanatembea kwa makundi, wananchi wanajipanga kuendesha operation wenyewe, raia wa kigeni hawatoki nje!
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Doooh haya ni MADHARA YA WANA SONGEA KUIKUMBATIA CCM...
   
 11. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeonaeeh!
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Raia wa msumbiji inatakiwa wawe makini huko nyumi bombi
   
 13. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  hv na huko msumbiji wakianza kuchinja wabongo?...sitaki kabisa kufikiria huko
   
 14. J

  Jikombe Senior Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Pole sana kwa familia ya marehemu. Haya yote yanasababishwa na mfumo wa jinsi jensi la polisi ninavyoendeshwa/jiendesha. kuna haja ya kuupitiwa upya mtaala wa mafunzo ya polisi. Ili la kusingizia "hawakutii sheria" litaendelea kuleta madhara makubwa kwa jamii pamoja na Taifa kwa ujumla wake
   
 15. J

  Jikombe Senior Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Pole sana kwa familia ya marehemu. Haya yote yanasababishwa na mfumo wa jinsi jensi la polisi ninavyoendeshwa/jiendesha. kuna haja ya kuupitiwa upya mtaala wa mafunzo ya polisi. Ili la kusingizia "hawakutii sheria" litaendelea kuleta madhara makubwa kwa jamii pamoja na Taifa kwa ujumla wake
   
 16. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 280

  ndugu chunguza vizuri hii habari kisha utujuze,

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
Loading...