Jf imekuwa msaada kwa jamii kwan hutumiwa na watu wengi wenye sifa na nyadhifa mbali mbali! Hivyo wahusika wa dawasco au yeyeto mwenye ufaham juu ya hili anisaidie! Ni wiki karibu ya tatu sasa...
Nimekuwa nikisikia hii skendo tangia nilipopevuka katika maswala ya Nchi na uongozi wake, ninachoomba kwa yeyote mwenye uelewa wa hii skendo atuwekee hapa jamvini ili sisi tuliombali na uelewa...
kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maswali mengi juu ya code namba hiyo, kwa yeyote anayemiliki simu ukipiga namba hiyo itakupa option nyingi kama za m.pesa , simu banking n.k sasa kiasi cha...
Wakuu mimi nakerwa na huu mchakato. hivi ni jamii gani inayowekaga kikao cha kujadili wanavaa nini na kula nini? mimi naamini mazingira ndiyo yanasema utavaa nini na utakula nini. sasa huu...
Anaitwa casmir mfuse. Tulikuwa wote chuo cha ualimu kleruu iringa 1978. Alikuwa genius (kama kuna mtu atamkumbuka). Alikuwa mwalimu mwanafunzi akitusaidia wengi lakini zaidi wadada walikuwa...
Nimekuwa nikufuatilia kwa ukaribu sana sanaaa taarifa zetu za habari hapa nyumbani tz,Kenya na hata Uganda lakini nika note kitu kwamba kuna mapungufu makubwa sana katika uwasilishaji nikajua ni...
Sisi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya Tanga mkoa Wa Tanga jumamosi hii tarehe 3/3/2012 saa 9 alasiri kutakua na mkutano wa wanakijiji wote na tunatarajia kufanya maamuzi...
Wakuu course ya data analysis imeanza kufundishwa ucc mbezi beach branch tar 27 feb jana.
1.course ni wiki tano(5)
2.jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
3.mahali ni ucc...
Vodacom Ubungo Plaza mbona wamelala?
Nilikuwa na shida ya M-Pesa nikamkuta mwanamke mmoja mweupe mnene kavaa miwami ananijibu kama hataki. Kwanini uliomba kazi vodacom?
Ndiyo tatizo la...
Kuna habari kuwa pilisi kanda ya ziwa wamewaomba watanzania kumwombea mwenzao aliyeumizwa na raia,
My take.
Polisi kupigwa na raia si sawa ila polisi kuuwa raia tena wasio na kosa ni haki na...
kesho ni siku ya pekee kabisa ktk mwaka huu,kwani siku hiyo haitajirudia tena hadi baada ya miaka minne ipite
kesho ni 29/02/2012 hiyo tarehe 29 ndio tarehe ya mwisho wa mwezi pekee ktk mwezi wa...
Ni kawaida unapokuwa Mbeya kusikia mtu au watu wamepigwa nondo kichwani na majambazi na kuporwa mali. Na wakati mwingine matukio hayo hutokea hata jirani na police.
Mwaka jana tukio moja...
Mtu mmoja haofiwa kufa baada ya pick up double cabin moja yenye namba za usajili T135AKC mali yaSalehe H Salehe kuligonga daladala lenye namba T115 BGJ aina ya NISSAN mali ya M.A.Mfanga inayofanya...
Kuna mayai feki yanaoingizwa kutoka Nairobi na kuuzwa kwa Tray moja 4,000 (elfu nne) kariakoo na gongo la mboto. mayai ni mepesi saana na madogo.
MAYAI YNA KIINI CHEUPE NA KITU KAMA UZI MWEKUNDU...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda nahisi amechanganyikiwa baada ya kupewa kazi hiyo ya uspika inayoonekana wazi kumshinda. Sasa amebaki tu kuropoka na kukurupuka...
Wednesday, February 15, 2012
UNAFIKI HUU WA WANASIASA WETU HADI LINI
BY BARNABA BUKHU.
Mwaka 2008, baada ya kuibuka kwa kashfa ya kampuni hewa ya richmond, watanzania tuliamini kuwa...