DAWASCO, Haya maji meusi majumbani mwetu chanzo chake ni nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DAWASCO, Haya maji meusi majumbani mwetu chanzo chake ni nini??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uncle Jei Jei, Feb 29, 2012.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Jf imekuwa msaada kwa jamii kwan hutumiwa na watu wengi wenye sifa na nyadhifa mbali mbali! Hivyo wahusika wa dawasco au yeyeto mwenye ufaham juu ya hili anisaidie! Ni wiki karibu ya tatu sasa, nyumbani Tabata bima maji yanatoka mchanganyiko, kuna siku yanaanza masafi na katikati yanatoka machafu yaani meusi sana kama kutu, siku nyingine huanza meusi lakin pole pole huchujika na kuwa masafi! Nimejaribu kufuatilia ofisi za hapa lakin sion mabadiliko! Wanasema "yawezekana mabomba ni machafu hivyo tutafuatilia". Sasa tatizo ni kwamba kutokana na uhaba wa maji tabata, tunalazimika kuyatumia hivyo hivyo kwa shughuli mbali mbali za nyumbani! Je, hili tatizo ni kwangu tu?? Na kwanini hivi?? Haya maji meusi yanatoka wapi?? Na kwanin mda mrefu hivi? Jaman tusaidiane, afya zetu ziko matatani!
   
Loading...