Je Wajua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Wajua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Feb 28, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kesho ni siku ya pekee kabisa ktk mwaka huu,kwani siku hiyo haitajirudia tena hadi baada ya miaka minne ipite

  kesho ni 29/02/2012 hiyo tarehe 29 ndio tarehe ya mwisho wa mwezi pekee ktk mwezi wa pili ambayo haitojirudia tena hadi baada ya miaka minne
   
 2. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo?
   
 3. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mwenyezi mungu atuweke mpaka hapo Ikija tena.
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,451
  Trophy Points: 280
  watakaozaliwa kesho hawana besidei hadi baada ya miaka mnne du raha sana
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo ndio ujue hivyo maana ulikuwa huelewi hivyo
   
 6. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  itabidi washeherekee tarehe 27 ama 1 ya kila mwezi unaofuata ama kusubiri tarehe husika
   
Loading...