Spss data analysis inafundishwa ucc-mbezi beach branch | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spss data analysis inafundishwa ucc-mbezi beach branch

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raia tz, Feb 28, 2012.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu course ya data analysis imeanza kufundishwa ucc mbezi beach branch tar 27 feb jana.
  1.course ni wiki tano(5)
  2.jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
  3.mahali ni ucc mbezi beach branch
  4.ada ni 290000/=
  5.no other aded qualifications only your course fee

  mimi ni mwanafunzi nasoma hiyo course so natoa taarifa kwa atakaye kuwa tayari call 0712853939 huyo ni course coordinator
   
 2. R

  RUTARE Senior Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ada ni kubwa sana hii sasa ni business oriented na sio service oriented na hata business yenyewe ni accumulation of super profit. watoto wa akulima watajikwamua kweli?
   
 3. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Angalieni msijekuwa mnawafunidha watu data coding na entry tu. Kama ni hivo na ada ni hiyo huo utakuwa wizi wa mchana
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Yaani spss tu mnafundishana wiki 5? Kha! Hapo mmeambiwa mtapewa package bure wakati una-download bure mtandaoni!
   
Loading...