Ombi kwa vyombo vyote vya habari tanga

colyvas

Member
Feb 23, 2012
11
0
Sisi wakazi wa kijiji cha kichangani kata ya maweni wilaya Tanga mkoa Wa Tanga jumamosi hii tarehe 3/3/2012 saa 9 alasiri kutakua na mkutano wa wanakijiji wote na tunatarajia kufanya maamuzi mazito kuhusu mwenyekiti wetu aliye poteza sifa ya uongozi kwa kushindwa kuitisha mikutano toka mwaka 2009 alivyoingia madarakani ambavyo ni kinyume na kanuni ya uongozi iliyowekwa TAMISEMI Nakumbiwa macho na mamlaka zote husika
TUNAOMBA WANAHABARI WOTE MLIOKO MKOANI TANGA MJE MTUSAIDIE KUPAZA SAUTI ZETU WAKAZI WA KICHANGANI KATA MAWENI
 
tanga mkome na ccm wenu...tangu 2009 hajaitisha kikao na nyinyi mlikuwa mnakunywa kahawa tu?
 
Mkome hivyo hivyo na hayo magamba yenu, 2010 mlimpaje kura?, Tanga mnaendekeza maneno tu vijiweni bila vitendo makini,
anyway natamani huyo m/kiti aendelee kuwafisadi hivyohivyo,
 
Mkome hivyo hivyo na hayo magamba yenu, 2010 mlimpaje kura?, Tanga mnaendekeza maneno tu vijiweni bila vitendo makini,
anyway natamani huyo m/kiti aendelee kuwafisadi hivyohivyo,
Tunawakalibisha vyama vyote hiyo tarehe 3/3 mje mtusaidie kuondoa huo ufisadi mimba kutoka sio mwisho kuzaa waandishi tusaidieni haya zito karibu
 
Kaazi kweelii kweelii !!!!!!!!!!!!

Tanga wanaomba msaada huo. Sijui wenyewe, wenye Tanga wako wapi?

Hivi sirikalini hamna mkuu atokae Tanga? WTANGA MWAJISAHAU. Jiji laporwa. Wenyewe mwala kuku majuuuu.
 
Back
Top Bottom