Kunani Tanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunani Tanga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by colyvas, Feb 27, 2012.

 1. c

  colyvas Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakubwa wa tamisemi njoni tanga muone mwenyekiti miaka 2 bila mkutano kichangani tunarudi nyuma tusaidieni wakubwa wasikie
   
 2. S

  Shembago JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Try to deliver details not just simple sentence like that,we are human being we need to know exact what happen over there kunani?
   
 3. S

  Samsindima Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanga poleni. Kutoka mkoa uliokuwa unaongoza kwa utajiri wa rasilimali watu na uchumi hadi kuwa mkoa wa viongozi Masangoma na washirikina mtaendeleaje? Hadi hapo mtakapojirekebisha na kuchagua viongozi wapenda maendeleo mtazidi kudidimia. Utafiti uliofanyika miaka ya hivi karibuni (Regional Social Economic Survey) unaonesha kuwa asilimia 75 ya viongozi hawana/hawapendi utaratibu wa kuitisha vikao vya kutoa taarifa muhimu kama za mapato na matumizi; asilimia 15 wanatoa hesabu na taarifa kanganyifu na 10 ndio afueni. Kazi kwenu.


  Mki
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,543
  Likes Received: 12,823
  Trophy Points: 280
  Sijaelewa sana niko huku lembeni! Dadavua please upate msaada! Poleni
   
 5. uronu

  uronu Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 5
  ni kweli kabisa hili ni tatizo na sasa limeshaota sugu, suala la viongoz kuitisha mikutano ya vijiji au mitaa halipo, na endapo panafanyika mikutano huwa inatoka ngazi za juu.
  Kwa mfano hapa tanga mtaa wa magomeni-mjimwema kata ya duga,. Hili limekuwa ni tatizo sugu kwa kiongoz wa mtaa, ktk kuitisha mikutano ya maendeleo ya mtaa kwa mtaa ndani ya kata zetu ni shida na penginepo hili swala linatokana na hofu ya maswali na changamoto hasa panapokuwepo na vijana wasomi kwny miji yetu...
  Jamani viongoz 2badilike na kuondokana na dhana ya woga na 2kubali changamoto zinazotuhusu.
  Pia ww kiongozi pendelea kuitisha mikutano ktk miji yako ili uwe kiongoz bora na msaada kwa wananchi wako.
  Kuwa kiongoz ni dhamana na sio vinginevo na uwe mfano kama kiongoz bora.
  TUBADILIKE
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  Leo hii nimetembelea Tanga ni sehemu nzuri sana ila hakuna biashara.
  Wenzetu wakenya ni wengi hasa wanaotumoa mpaka wa Horohoro kwa. Biashara zao.
   
 7. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Poleni saaana Tanga.

  Lakini si mengine si mnajitakia wenyewe!!!!!!!!!!!!

  Jitahidini kuondowa utegemezi. Enzi zetu tulikuwa twafanya vyote wenyewe. Hatungoji SIRIKALI.
   
Loading...