Mahalu na Kashfa ya Ubalozi wa Tanzania Italy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahalu na Kashfa ya Ubalozi wa Tanzania Italy

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Josephine03, Feb 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikisikia hii skendo tangia nilipopevuka katika maswala ya Nchi na uongozi wake, ninachoomba kwa yeyote mwenye uelewa wa hii skendo atuwekee hapa jamvini ili sisi tuliombali na uelewa tupate mwangaza.

  Angalizo: kama ilishajadiliwa pia naomba huo uzi niufatilie natanguliza samahani na shukrani kwa kunielewa. Takbir!!!!!!!
   
 2. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ninachojua hata JK alitoa baraka zote za huo ufisadi wakati akiwa waz-ri wa mambo ya nje
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kuna thread imeelezea kuwa Kikwete anafahamu issue nzima ya Italy
   
 4. K

  KIFILI Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani kauliza kama jk alihusika ama hakuhusika mbona mnakua washabiki zaidi wa kudandia mambo,kama huna uelewa na cha kumsaidia bora upige kimya..
   
 5. MasterBetty

  MasterBetty Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Jina lako ni Kiboko! Jf ni kisima cha burudani.
   
 6. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unamajibu ya chooni kama jina lako kwani mwanzo wa stori si ni hints haya unganisha uje na hiyo aliyouliza
   
 7. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #7
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usijali na zenyewe ni chanzo cha habari nafikiri ni kati ya ninayotaka kusikia
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mods unganisha huu uzi na ule unaosema JK alijua ununuzi wa nyumba ubalozi wa Italy bana maana kujadili kitu hicho hicho kwenye thread mbili tofauti inabore bhana!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Jina limeshabadilishwa na kuwa KIFILI!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...