Vyombo vya habari tz igeni kwa wenzenu kenya si vibaya.

mdegela

Member
Feb 27, 2012
7
3
Nimekuwa nikufuatilia kwa ukaribu sana sanaaa taarifa zetu za habari hapa nyumbani tz,Kenya na hata Uganda lakini nika note kitu kwamba kuna mapungufu makubwa sana katika uwasilishaji nikajua ni kawaida kwetu kusingizia bado tupo chini kiteknolojia, lakini nikafanya uchunguzi kwa ukaribu kujua tofauti ya vifaa wanavyotumia, lakini nikagundua kuwa vina ubora mmoja kama kutuzidi basi nivifaa vichache sana. Mwisho nikajua hatuna watumiaji wa zuri wa vifaa hivi! Je hata wanaoripoti nao wanahitaji teknolojia....??? Leo nimeangalia taarifa ya habari ya Citzen wakawa wanariport mazishi ya Waziri wa Kilimo bwana John Njiku, yaani ukiona smartnes ya reporter na mtiririko wa Habari unaelewa kila kitu na kuguswa na tukio kiukaribu sana....
 
Tz siku zote bora liende kuanzia serikali mpaka secta binafsi vyombo vya habari mpaka wananchi
 
Uko sahihi hasa madudu yanayojitokeza TBC wakati wa taarifa za habari. Habari zenyewe hazina mpangilio yaani kama vipandevipande hivi. Nimekuwa naangalia taarifa ya habari ya CITIZEN na wakati mwingine KBC naona jinsi walivyo mahiri, hata lugha zao iwe Kiingereza au Kiswahili. Pamoja na kwamba habari ni za Kenya lakini zinavutia kuangalia kuliko madudu yaliyoko TBC. watangazaji, maripota yaani we acha tu...!
 
ni kweli taarifa zetu za habari hazina mvuto hata kidogo,maripota wakenya wanajua wanachokifanya.unaangalia habari mpaka unakuwa moved
 
Tz siku zote bora liende kuanzia serikali mpaka secta binafsi vyombo vya habari mpaka wananchi

Yaani bongo tunasema tuna elimu... Ndiyo labda tuna elimu lakini ya mashaka... Yaani sijui ni rushwa inatuharibu,madesa,au nini!

Yaani we are not PROFESSIONAL at all... Hata ubunifu hatuna.. Basi tuige,nako tunashindwa.. Tumezoea kila siku ni kama jana tu.. Hebu angalia Citizen TV,kuna mengi ya kujifunza katika urushaji matangazo,hata vipindi vingine huwa vinafurahisha sana!

Kuna vipindi wanachukua clips za matamshi mbalimbali ya viongozi na wanarelate na mambo mengine ya kisiasa,kama wanajicontradict,wanakuonesha,mengine yanachekesha..yaani they are quite interesting kiukweli..
 
Wenzetu sijui wamesomea wapi bwana! Habari zina mvuto ni mwisho, mimi huwa natazama K24 kuna taarifa wenyewe wanaita the Big story na KBC1 wana News at 9! TBC1 naona wamejaza makanjanja!
 
Ni mazishi ya aliyekuwa waziri wa mazingira Mr.Michuki,Kwakweli wakenya wako smart sana kwenye utafiti wa taarifa na uwasilishaji.
 
waandishi wa hapa kwetu ndiyo hawa wakina pasco wakienda kwenye mazishi wanawaza kikwete na dr slaa kushikana mikono na kuwaza bahasha za kaki yaani ni njaa mwanzo mwisho...tanzania kama tuna waandishi wa habari ni wachache sana au hakuna kabisa....
 
Back
Top Bottom