Namtafuta rafiki yangu

mpingauonevu

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
623
430
Anaitwa casmir mfuse. Tulikuwa wote chuo cha ualimu kleruu iringa 1978. Alikuwa genius (kama kuna mtu atamkumbuka). Alikuwa mwalimu mwanafunzi akitusaidia wengi lakini zaidi wadada walikuwa wanamgombea sana. Nimekaa nikatafakari nikamkumbuka sana. Mara ya mwisho alikuwa njombe. Kama kuna mtu anataarifa yake tafadhali naomba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom