Polisi wataka sala za watanzania kwa ajili ya mwenzao aliyeumizwa na raia.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Kuna habari kuwa pilisi kanda ya ziwa wamewaomba watanzania kumwombea mwenzao aliyeumizwa na raia,

My take.

Polisi kupigwa na raia si sawa ila polisi kuuwa raia tena wasio na kosa ni haki na wanawaita wahuni,naomba watanzania tuungane kupinga huu uonevu, tumtake igp awachukulie hatua ingawa haonekani hata kujali ikishindikana tujipangekuwaonyesha kuwa hatukubaliani na uonevu huu.
 
Mbona wao wako wengi tu na wana nguvu hata ya kutuua raia jamani......si waungane kumuombea mwenzao as well with the same zeal as they use to beat us.......au tume ikitoka Songea ipitie huko kabisa

Maombezi ya raia hayatakuwa ya kihuni?????

Intelijensia inaonesha akiombewa atapona?????
 
uadui kati ya polisi na raia unazidi kuongezeka
siku raia wakichoka sijui itakuwaje
 
Duh! Mnakuwa na roho gani jamani? Polisi nao ni wanadamu kama sisi,na wao wanapata maagizo kwa wakubwa zao! Hapo wanapoumia tuwaombee!
 
Duh! Mnakuwa na roho gani jamani? Polisi nao ni wanadamu kama sisi,na wao wanapata maagizo kwa wakubwa zao! Hapo wanapoumia tuwaombee!

Haombewi mtu hapa, wakafie mbele, kwani huwa wanaambiwa waue raia wasio na hatia au ni kiburi na jeuri yao.
 
Waacheni wafu wawazike wafu wenzao.

kama wawauavyo raia wema nao hawanabudi kufa.

hao mabosi wao wanao watuma kututandika risasi,mabom ya machozi,majiya kuwasha na virungu ndio waungane kumuombea huyu kimbora mwenzao.
 
yan cjui nisemaje ila polisi wa tz wapumbavu sana na ndo maana wamelaaniwa wanakaa kwny vigofu vichafu
 
Nafuu nifanye shughuli ndogondogo mitaani kuliko kuwa polisi kama watanzania yetu!. Dawayao ni maisha magumu zaidi ya hapa kwa watz na form 4na 6 kibaowasio na ajira uone kama wataogopa risasi za vifua na mabega! Bye.
 
Back
Top Bottom