kwa wanaomiliki simu *150*55# ni namba ya nini?

kobe mzee

Member
Dec 18, 2011
10
1
kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maswali mengi juu ya code namba hiyo, kwa yeyote anayemiliki simu ukipiga namba hiyo itakupa option nyingi kama za m.pesa , simu banking n.k sasa kiasi cha pesa nazoambiwa ni balance yangu zimetoka wapi? na iweje kila mtu awe na sh. laki 8? kwa anayejua naomba maelezo p.se.
 
Bank M wapo kwenye mchakato wa kuanzisha huduma. Kama za sim banking!
 
pesa zako hizo wewe kazichukue nchi hii imeshauzwa sasa kila mtu achukue chake
 
Hilo ni gawio la kila Mtanzania kutokana na madini tunayouza nchi za nje! kachukue utumie tu.
 
Vodacom hawajaintroduce hcho kitu....ht ukicheki salio inakwambia hyo ni test account ndugu zangu. Mpesa account menu USSD ni *150*00#.
 
Nimehamisha hiyo kilo 8 kwene acc yangu ya Mpesa..teh teh teh..
NB: Askudanganye mtu hakuna free lunch kwa dunia ya sasa.
 
Inasemekana mafisadi wameanza kusachiwa kwenye account zao, xso wana tafuta mtu yeyote wanamuingizia kwenye account yake ili wasikutwe nazo nyingi
 
Back
Top Bottom