Mchakato wa kutafuta vazi la taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa kutafuta vazi la taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpingauonevu, Feb 28, 2012.

 1. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Wakuu mimi nakerwa na huu mchakato. hivi ni jamii gani inayowekaga kikao cha kujadili wanavaa nini na kula nini? mimi naamini mazingira ndiyo yanasema utavaa nini na utakula nini. sasa huu mchakato tunauanzaje wakati mkuu wa kaya kila siku ana suti tu? kwa nini mawaziri (mfano wamasai) wasivae kimasai huku wakiwa mawaziri? hivi kikwete kwao hawana vazi la asili? Nchimbi wewe kwenu songea mnavaa nini? halafu huyu joseph kusaga redio yake hata watangazaji (mfano diva na babra) wanapenda kujifanya hawajui kiswahili vizuri na hata miziki mingi ya clouds fm ni yakizungu(imeigwa kutoka usa). hebu fikiria mamiss wetu wanaenda nje kuwakilisha nchi wanakuwa na emmmm i mean you know JAMANI! VAZI LA TAIFA NI AKILI NA KUJITAMBUA LAKINI SIO MUONEKANO WA MAVAZI!
   
Loading...