baada ya chuo kufunguliwa na wanafunzi kushindwa kuja chuo ikidhaniwa wamekosa nauli au wanaogopa kula mawe chuo hakina wabafunzi kabisa hii imepelekea leo VC kuitisha meeting wafanyejeeee
my...
Nchi yetu ipo kama mji usio na baba vile,Inasikitisha sana kuona mji wa tanzania umekosa baba mwenye kujisimamia.Kila msaidizi wake anakuwa na ndimi zinazokinzana na mwingine,mara nyingi baba...
Basi la MURO TRANS, linalofanya safari za MWANZA-DAR, alfajiri ya leo, likiwa linaelekea DSM, liliacha njia na kupinduka eneo la mkolani kwa DANCUN.
Watu 25 wamejeruhiwa, 6 kati yao hali zao ni...
Mimi Ni mgombea nafasi ya ukilanja mkuu(headprefect) shule moja hivi pande za tabora.nahitaji mawazo yenu yachangamke kunipatia slogans niwezazo kutumia ili nishinde.tayari nimebuni bahadhi ila...
kalenda zaidi ya laki 7 za TWAWEZA zimekamatwa na polisi wa Uganda katika mpaka wa Tanzania na Uganda mtukula zikiwa zinaingia Uganda. kisa cha kukamatwa ni kwamba zina maneno ya uchochezi. Hizo...
Kufuatia kauli tata ndani ya jeshi la polisi Tanzania nimeingiwa na wasiwasi sana na dhana halisi ya cheo cha D.C.I. Mr. Manumba anaonekana bila kificho kuitumikia siasa na si kufanya kazi kama...
Nimeunganishwa na vijihuduma vingi sana vya vodacom either kwa kujua au kwa kutojua na kwasasa nakatwa hela nyingi kwa huduma hizo.
Simu inapobaki na shs 250 naambiwa sina salio la kutosha kupiga...
Katika kozi mojawapo kwenye chuo fulani kuna makabrasha kadhaa ya kihistoria yanayodai kuwa biashara ya kilevi ilikuwa na faida kubwa sana toka enzi za ukoloni. Mataifa ya Ulaya yalikataa katakata...
Madaktari hapa wilayani Mafia wameingia kwenye mgomo mpya kuanzia leo asubuhi. "Total tools down" hiyo inaendelea hadi mda huu na kuathiri huduma za afya kwa wagonjwa ambao wanategemea kupata...
Naomba mwenye taarifa za ndani zaidi anifahamishe kwani sielewi mwenendo wa Kampuni Komgwe ya mawasiliano nchini (TTCL), nimesitushwa na kuona kwamba maeneo mengi yanayopata huduma ya simu za...
Basi la Tashirifu limepata ajali maeneo ya picha ya ndege leo saa 10 jioni lilikuwa linatokea Tanga majeruhi ni wengi wako tumbi wengine wamepelekwa Mhimbili,cha ajabu kondakta wa basi alikuwa...
Tunaliheshimu sana Kanisa Katoliki, Tunawaheshimu sana viongozi wake. Kanisa Katoliki angalau mpaka ninapoandika uzii huu ni Kanisa tajiri sana, linamiliki Taasisi muhimu sana, Hospitali...
Archbishop calls for government to return nationalised schools: The Church of England Newspaper, Oct 28, 2011 p 7. October 30, 2011
Posted by geoconger in Anglican Church News, Anglican Church...
Nilienda mjini tarehe 27/02/2012 kuweka pesa yangu kwa wakala wa MPESA mjini. Wakala akapokea pesa na kuiweka akaniambia nisubiri msg ya kuwekea pesa toka MPESA kama kawaida. nilisubiri weee bila...
Imekuwa kawaida sana sasa hivi mtu ukimpigia simu yake mara haipati kan,sijui huna salio la kutosha hivyo ongeza kwanza fedha na mwisho kabisa unampigia mtu sim unakuta kabla haija anza kuita...
Jamani taarifa yao ya habari haielewki.watangazaji wanaongea mambo yao+bila kujua kwamba wapo hewani.kazi kujisifia kumbe hawana lolote............bora jf kuna kila kitu.
Jana 2802012 Gavana wa Benki Kuu alinukuliwa na vyombo kadhaa vya habari nchini akisema kwamba wateja wa pesa kupitia mitandao ya simu za mkononi (tiGO pesa, M-Pesa, Air ell money, ZAP) wamefikia...
Jf imekuwa msaada kwa jamii kwan hutumiwa na watu wengi wenye sifa na nyadhifa mbali mbali! Hivyo wahusika wa dawasco au yeyeto mwenye ufaham juu ya hili anisaidie! Ni wiki karibu ya tatu sasa...