Kampun ya TIGO yachafuliwa na namba *35*0000# | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampun ya TIGO yachafuliwa na namba *35*0000#

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Feb 28, 2012.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Imekuwa kawaida sana sasa hivi mtu ukimpigia simu yake mara haipati kan,sijui huna salio la kutosha hivyo ongeza kwanza fedha na mwisho kabisa unampigia mtu sim unakuta kabla haija anza kuita inakata.
  Kiukweli kwa hiyo hali ya mwisho kampun ya tigo isilaumiwe kabisaa kwani now watu wamegeuza kama fashion kama anadaiwa au ni mke/mme wa mtu au mtu yoyote yule wanapiga namba *35*0000# ukipigiwa sim haipatikan kamwe na baadae wakiulizwa hung'aka na haraka haraka huitupia mzigo kampun ya tigo kuwa imekuwa kimeo kumbe ni wao kwa lengo lao binafsi ndio wamefanya hivyo.

  Msidanganyike kabisa kwa hali hiyo mwisho yakutopatikana kwa simu ujue umechezew uhuni na ukanyanja.
   
 2. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Sijakuelewa!!! Tulia uendike vizuri nahisi unapoint
   
 3. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulicho sema ni kweli kabisa huwa inauzi saana kama unamtafuta mtu alafu kagonga hizo namba.
   
 4. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Kaka kihelehele changu nimepiga hy number afu imeniandikia barring call has been activated, naomba msaada ntaondoaje?
   
 5. Mhindih

  Mhindih JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Anza na # afu izo number utakua umejitoa. Yaani #35*0000#
   
 6. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,532
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  kuna siku tigo ilishawahi kuwa safi
   
 7. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Jamani tuache kuichafua tigo. Mitandao yote inakubali kufanya hii kitu. Sema voda wao, ukishafanya call barring, mtu akikupigia unapata ujumbe huu, " Asante kwa kutumia mtandao wa Vodacom, huduma kwa mteja unaempigia zimezuiwa kwa muda, tafadhali tumia huduma mbadala kumfikia mteja huyu, or services to the person you are calling has been temporarily barred please use another alternative to reach that person"
  Hii huduma si mbaya, na wala haina tatizo, kwani hata isipokuwepo, mtu huyu anaweza kuizima simu na isipatikane vilevile. Heko tigo na mitandao mingine mnao support hii huduma.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  hhahahaaaaa imekula kwako
   
Loading...