jaman wana JF habari zenu. Kumbe La Familia ni kundi hatari lililopo Mexico ambalo linajishughulisha uuzaji wa madawa ya kulevya..sasa Chid Benz ameiga kuita kundi lake lla familia je nao wanauza...
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii...
Hadi muda huu watu wawili wamefariki dunia baada ya wanajeshi wa Kambi ya Lwamishenye mjini Bukoba kuvamia mtaa wa Anyama na kutembeza kipigo.
Pia muda mfupi uliopita polisi wamewatawanya...
Watanzania tumezoea kutowawajibisha viongozi mtu anavulunda anajua miaka mitano ikifika anachapa lapa huu mtindo waliohuanzisha madaktari wa kuwawajibisha utaleta mabadiliko badala tusisubiri hiyo...
Jamaa yangu alimpangisha nyumba yake. Mpangaji akapiga picha kwenye hiyo nyumba na kutengeneza document na mihuri feki kwamba hilo eneo ni lake. Akawahonga baadhi ya viongozi wa serikali ya mitaa...
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana JF wote kwa kua nami karibu tangu kufariki kwa mwanangu mpaka maziko na atimae sasa leo nimeitimisha msiba.
Kwa kweli inauma sana kuondokewa na mtoto...
Kumeibuka wimbi kubwa la vyombo vya moto kuharibika yakiwemo magari na pikipiki kutokana na wamiliki kuuziwa mafuta machafu katika Manspaa ya mji wa Zanzibar.
Tatizo hilo limeanza kujitokeza siku...
Mwenyekiti Uda awashukia wabunge Dar
Na Mwandishi wetu
5th March 2012B-pepeChapaMaoni
Meya Dk. Didas MasaburiMwenyekiti Mtendaji wa Kampuni Simon Group, Simon Kisena, amewashukia wabunge wa...
Habari za kuaminika kutoka kigoma ni kwamba walimu wa sekondari na shule za msingi leo kuanzia saa 6 mchana waliwafungia wakuu wa idara katika manispaa ya kigoma ujiji akiwemo mkurugenzi wa...
Ufisadi unakula nchi yetu na unataka kuimaliza,haya matatizo yote ni matunda ya mdudu ufisadi,mdudu huyu amepelekea hata wafadhili wetu wasiwe na imani na serikali yetu kiasi cha kutoa hela kwa...
Hii habari niliisikia kama tetesi siku ya ijumaa tarehe 2/3/2012 kwa kuwa nilikuwa nadai vihela vyangu huko Kasulu na niliahidiwa kuzipata Jumatatu nilifunga safari Ijumaa na kufika jioni na...
Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Charles Kenyela
Hatimaye Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewafukuza kazi askari wake wawili waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya...
Watu wa kimara tumekuwa tukipata maji kwa mgao wa aina fulani kwa kipindi kirefu huko nyuma, ambapo ilikuwa ni angalau mara mbili kwa wiki. lakini huo mgao kwa sasa unafifia sana, kwa sasa unaweza...
Series of large explosions kills at least 200 people in Brazzaville and shatters windows across the Congo river in Kinshasa
At least 200 people have been killed and many more injured in a...
Kijana aliyepoteza maisha akiwa chini ya ulinzi wa askari waliompiga kwenye pikipiki ya miguu mitatu
hivi karibuni nilikuwa katika wilaya ya urambo mkoani tabora ambapo kijana mmoja aitwae...
Wakuu nipo pande za Tarakea huku naona malori pamoja na ma V8 yalobeba watu waliovaa kijani ya ccm yanatokea upande wa moshi kuelekea Tarakea sijui magamba wana mishe gani leo huku maana nasikia...
Kuna habari,, wananchi "wenye hasira kali" Wilayani Chunya wamevamia na kuvunja kituo cha Polisi Lupa Tinga Tinga kisha kuchoma moto nyumba mbili za askari polisi na moja ya raia. Tukio limefuatia...
Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari wake waliokuwa wanatuhumiwa kwa mauaji ya kijana Hassan Mgalula wa Urambo, Tabora. Kwa mujibu wa RPC Tabora, askari hao wanne (Konstebo Aidano, Jonathan...