La Familia

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,416
6,577
jaman wana JF habari zenu. Kumbe La Familia ni kundi hatari lililopo Mexico ambalo linajishughulisha uuzaji wa madawa ya kulevya..sasa Chid Benz ameiga kuita kundi lake lla familia je nao wanauza cocaine??
 
Aliyewakomeshega waigaiji ni Snoopy Doggy Doggy tu! kulikuwa na bwana mdogo mmoja wa bongofleva anaitwa Sna Lee! (snoopy lee)
alipenda sana kumuiga snoopy doggy doggy, siku moja akamuandikia email snoopy doggy akisema..my name is snoopy lee, Im from Tanzania, im your fan, my face looks like you!
Snoopy akamjibu yule dogo short and clear: I DONT RESEMBLE WITH ANY MONKEY FROM EAST AFRICA.
 
safi sana wapuuz wanapenda sana kuiga
 
ha ha ha ha ha ha!
 
Hata Wwe kuna kundi la la familia linaongozwa na vicky and chavo guerero et al! Xo ts al bout copy and pasting....poor chid plus the others!
 
Yes La Familia ni kundi hatari sana la magang,mwaka jana kuna member wa La familia alikamatwa jamaica niliona CNN.
 
Aliyewakomeshega waigaiji ni Snoopy Doggy Doggy tu! kulikuwa na bwana mdogo mmoja wa bongofleva anaitwa Sna Lee! (snoopy lee)
alipenda sana kumuiga snoopy doggy doggy, siku moja akamuandikia email snoopy doggy akisema..my name is snoopy lee, Im from Tanzania, im your fan, my face looks like you!
Snoopy akamjibu yule dogo short and clear: I DONT RESEMBLE WITH ANY MONKEY FROM EAST AFRICA.
hii ya kweli?lol
 
Mleta thread anaitwa Mussolin jina la ambaye alikuwa dikteta wa kutisha aliyeua watu wengi sana nchini Italy enzi ya vita ya pili ya dunia...naye atueleze kwa nini ameiga
 
Wale wanamieleka wa WWE akina edge na yule mama vicky guerero nao wanaitwa la familia
 
Back
Top Bottom