Polisi waliomuua Mgalula kufikishwa Mahakamani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi waliomuua Mgalula kufikishwa Mahakamani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Komeo, Mar 6, 2012.

 1. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Jeshi la Polisi limewafukuza kazi askari wake waliokuwa wanatuhumiwa kwa mauaji ya kijana Hassan Mgalula wa Urambo, Tabora. Kwa mujibu wa RPC Tabora, askari hao wanne (Konstebo Aidano, Jonathan, Mohamed na Khakimu) sasa wanakabiliwa na tuhuma za mauaji, na kwamba wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani mara moja kusomewa mashtaka yao.
  Source: Gazeti la Tanzania Daima la 06/03/2012
  My take: Nice move if at all they will appear before the court of law as insisted by the RPC.
   
 2. K-killer

  K-killer Senior Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WAfungwe maishA,wAmezoeA kuoneA uma hAAwa polisi
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,329
  Likes Received: 2,980
  Trophy Points: 280
  Haki itendeke lakini pia ionekane kwa uwazi.
   
 4. S

  Senetor ulambo Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Askari hao wachunguzwe ikibainika ni kweli wachukuliwe hatua
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... hatua zilizochukuliwa hadi sasa dhidi ya polisi wanaotuua raia huku mitaani nasema BADO SANA kuturidhisha kitu.

  Mpaka dakika hii letu wananchi ni kwamba tunahimiza hatua zaidi za kisheria zichukue mkondo wake uliosahihi zaidi ili HAKI ionekane na kuhisiwa kutendeka kwa familia za wafiwa wetu na Umma wa Tanzania kwa ujumla wetu.

   
Loading...