Najuuta ku mpigia kura sugu awe mbunge wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najuuta ku mpigia kura sugu awe mbunge wangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DCONSCIOUS, Feb 23, 2012.

 1. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki.....

  Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......

  Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  MoD tuondoleee Huu u.puuzi !JF is for great thinkers!!
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kampige kibao umalize asila zako kudadadadeki!!!!!!!!!
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Huna hadhi ya kumpigia kura Mr II wewe na uzee wako huo wote. Great Stinker wa hapa JF huoni aibu kuibuka na hicho Kiswahili cha ki-Kuria huku ukijitia kujadili mambo ya Mbeya kwa Kamanda Sugu?
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  pumbafu wewe
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  sasa we ulitaka iweje??tukubaliane kutokukubaliana bana,ndio tutasonga mbele,kama hutaki basi tuanzishe vita
   
 7. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  We unamtindia wa akiri hebu kabige mswaki kwanza ndo uje humu maana umekaa kinafikinafiki tu we ulitaka aendele bifu hado lini?hayo ni maamuzi magumu ambayo hata magamba wanashindwa kufanya,sugu kafanya kitu ambacho wanatasnia ya music tulikua tunaomba kitokee,moja ya maafikiano ni kuwa ruge yuko radhi kuonesha njia jinsi uchakachuaji wa wasanii unavyofanyika we huoni hayo ni maendeleo kwa wasanii?hebu kasome tena yale maadhimio yao ndo uje humu kulalamika
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndugu siasa za bongo ni utat mtupu ole wako uupotezae muda wako kwa ajili ya siasa za bongo ipo siku utaujutia huo muda ulioupoteza..
   
 9. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mi sijaelewa hata unalalamikia kitu gani!

  Hebu rudi ufafanue hapa!!
   
 10. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  We Muhaya nini? maana kwenye "R" unaweka "L" na kwenye "L" unaweka "R" bado tu ulisahau kwenye "a" uweke "h" ! jamani samahani wahaya kama nimewaudhi lakini huu ndio ukweli!

  Sasa na wewe Sugu amekuudhi kupatana na Ruge? hivi ulikuwa hujui kama hawa Wabunge ni vigeu geu ! teh teh teh pole sana !
   
 11. a

  afwe JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Nina mashaka na dhamira na uelewa wa mtoa thread hii!

   
 12. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  We Muhaya nini? maana kwenye "R" unaweka "L" na kwenye "L" unaweka "R" bado tu ulisahau kwenye "a" uweke "h" ! jamani samahani wahaya kama nimewaudhi lakini huu ndio ukweli!

  Sasa na wewe Sugu amekuudhi kupatana na Ruge? hivi ulikuwa hujui kama hawa Wabunge ni vigeu geu ! teh teh teh pole sana !
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Baba padri uko wapi siku hizi?hilikuwa ngome kongwe kwenye mikikimikiki ya sauti za busara sikukutia machoni..swalaaaama lakini
   
 14. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  One thing I have learnt from this: don't mess with clouds, sidhani kama vinega ni washindi kama wanavyotuaminisha katika hili ingawa I support their cause.
   
 15. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  duh.. Humu kweli balaa
   
 16. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Wewe unachekesha kweli! kuna wakati humu JF kunakuwa na mada za kipu..uzi na ma..tusi ya nguoni kweli kweli na zinawekwa na Mod kwa matashi ambayo yeye Mod anajua na bila shaka yana faida kubwa kwa baadhi ya wana JF! na ukisoma sometimes unahisi kichefuchefu na kususa kutotembelea tena humu jamvini! kilichokuuma hapa ni kuwa MwanaGAMBA amesemwa sio? sasa ile dhana ya " where we dare to talk openly" imeenda wapi ?
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,098
  Likes Received: 6,562
  Trophy Points: 280
  mimi ni shabiki wa mr 2 sugu,
  lakini nakubaliana na mleta hoja.
   
 18. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kweli bangi zinafanya mtu achanganyikiwe. kwahiyo ulimpigia kura sababu alikosa deal la malaria? au unataka tujue kama ulinyeshewa. wale uliokuwa unawasubili walikuwa VINEGA, je ulipopiga kura VINEGA walikuwepo?
  Toa upumbavu wako hapa.
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kiswahili holaa Kiingereza mweupe agh!!
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.
   
Loading...