CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana JF wote kwa kua nami karibu tangu kufariki kwa mwanangu mpaka maziko na atimae sasa leo nimeitimisha msiba.
Kwa kweli inauma sana kuondokewa na mtoto,
Nilikua na watoto 3 sasa mwenyezi mungu kanibakizia 2,namshukuru m/mungu juu ya hilo na nnatumai anamaana yake kufanya hivyo.
Ntakua hapa Dar kwa wiki 2 na baada ya hapo ntaelekea nyumbani musoma kwa mapumziko mafupi inshaallah!